Content removal request!


MC PETIT/ISSA AZAM WACHARUKA/"KIBU KAFUNGA GOLI 2/INONGA HAKUNA KAMA YEYE/YANGA WAMEJICHANGANYA"

Leo tarehe 16/04/2023 Tanzania inashuhudia Mchezo tena Mchezo mkubwa Dabi ya Karikoo safari hii Mnyama Simba SC anamualika Mwananchi Young Africans kwenye Dimba la Benjamin Mkapa. Kumbukumbu nzuri Mchezo wa Kwanza Msimu huu uliowakutanisha Simba na Yanga ulitamatika kwa Sare 1-1 Agustin Okra akiingia kambani huku Aziz Ki akisawazisha kwa Mkwaju wa Mpira wa kutenga. Mpenja Tv tumefika Uwanjani kukuhabarisha wewe Mwana Michezo kabla na baada ya Mchezo huu kufika Tamati. Salia nasi kupata uhondo wote wa Dabi ya Kariakoo