Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC, Crescentus Magori na Meneja wa Habari wa timu hiyo Ahmed Ally wamezungumzia mchakato wa usajili ndani ya klabu hiyo na kutoa tafsiri ya ubwaya ubwela.
NBCPL Chuma cha pili ni kona ya moja kwa moja kutoka kwenye guu la Issa Rashid 'Baba Ubaya'. 85': Mtibwa 3-1 Ihefu.
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars SINTOFAHAMU imetanda baada ya kuwepo kwa tetesi kuwa msemaji wa Klabu ya Simba, Haji Manara kudaiwa kujiuzulu. Hayo yamejili baada ya Manara kuposti kwenye ukurasa wake wa Instagram maneno haya ambayo yametafsiriwa na wengi kuwa amebwaga manyanga. “Hivi vitimbi mnavyonifanyia kila siku kisa Simba vishanichosha, mwisho wa siku mtanitoa roho yangu kabla ya muda wangu… Imetosha kwa sasa!! Ubaya wote ni Haji lakini mafanikio ni yenu nyie Wakubwa… Kila siku ni Haji Haji Haji… “Mkitoka kunisingizia hili mtatengeneza cinema nyingine kwangu,,tunashindwa kujua kila Mja Mungu kampa fungu lake,,,,inakuwaje Rizki ya umaarufu wa mwenzio iwahangaishe kiasi hcho? “Likinitokea baya pakuanzia mnapo. Asanteni ndugu zangu na Mlipaji ni Mungu na ukweli utajulikana. IMETOSHA,” amendika na kuibua gumzo mtandaoni juu ya kile kilichomsibu. HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars
SUBSCRIBE HAPO JUU tembelea WEBSITE YETU https://bmtvtanzania.com/ INSTAGRAM https://www.instagram.com/bmtvtanzania FACEBOOK https://www.facebook.com/bmtvtanzania TWITTER https://twitter.com/bmtvtanzania1
Azam FC imepoteza mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Mtibwa Sugar ikifungwa bao 1-0 kwenye Uwanja wa CCM Shabiby Gairo, mkoani Morogoro. Goli la maajabu limefungwa na Isa Rashid 'Baba Ubaya' kwa kona iliyoingia yenyewe. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz