CHRISTINA MWAGALA ATEMA CHECHE "DIARRA SIO KIPA BORA/TUKIPIMA DNA KUNA TIMU ZINASHUKA DARAJA,AMONOME
CHRISTINA MWAGALA ATEMA CHECHE "DIARRA SIO KIPA BORA/TUKIPIMA DNA KUNA TIMU ZINASHUKA DARAJA,AMONOME

Afisa Habari wa TRA Christina Mwagala akizungumzia maandalizi ya kikosi kuelekea kumalizaka kwa msimu.



EDO KUMWEMBE AFICHUA TIMU ANAYOTAMANI ICHUKUE KOMBE KATI YA SIMBA & YANGA
EDO KUMWEMBE AFICHUA TIMU ANAYOTAMANI ICHUKUE KOMBE KATI YA SIMBA & YANGA

Pata habari motomoto za muziki, burudani, utamaduni, siasa, matukio, habari za kina, na michezo kupitia Wasafi Media. Hii Ni Yetu Sote. https://wasafimedia.co.tz/ π‘ͺπ’π’‘π’šπ’“π’Šπ’ˆπ’‰π’• Β©2025 π‘Ύπ’‚π’”π’‚π’‡π’Š π‘΄π’†π’…π’Šπ’‚. 𝑨𝒍𝒍 π’“π’Šπ’ˆπ’‰π’•π’” 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. #wasafi #wasafitv #wasafifm



AHMED ALLY AMJIBU ALI KAMWE KUWAITA NGUCHIRO WEKUNDU/MFA MAJI HAISHI KUTAPATAPA/PACOME HAKUCHEZA
AHMED ALLY AMJIBU ALI KAMWE KUWAITA NGUCHIRO WEKUNDU/MFA MAJI HAISHI KUTAPATAPA/PACOME HAKUCHEZA

Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC Ahmed Ally atema Cheche kali kuhusu kuambiwa wnapanga na Timu Pinzani.ili wasichezeshwe Wachezaji muhimu,Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB dhidi ya Coastal Union,kesho Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha.



MZEE SAID!YANGA KUPOTEZA MCHEZO LABDA FA CUP/GUEYE NI UPEPO ANACHEZA TIMU YEYOTE ILA LOEMBA MMMMH!!!
MZEE SAID!YANGA KUPOTEZA MCHEZO LABDA FA CUP/GUEYE NI UPEPO ANACHEZA TIMU YEYOTE ILA LOEMBA MMMMH!!!

kuwa wa kwanza kupata taarifa mpya za michezo, burudani, na makala mbali mbali hapa chapesa tv, usisahau subscribes



πŸ”΄JULIO YANGA NI TIMU MBOVU
πŸ”΄JULIO YANGA NI TIMU MBOVU

Kuelekea mechi ya Tarehe 13.6 ,kauli ya Julio ni hii. πŸŽ™οΈJULIO, Mashujaa FC. πŸ—£οΈ"Simba SC wao wana safu kali ya kushambulia kuliko Yanga SC, Yanga SC kwangu ni timu nyepesi Kabisa ila bado nawaheshimu, Dube ni mchezaji Opportunist sio Fighter, Pacome ana kokota vizuri, Mudathir ni mjanja mjanja, Ukiwawekea watu wa kuwakaba vizuri hawachezi, Goli 5 sio kwa Julio."- Jamhuri Kihwelo 'Julio' Head Coach Mashujaa FC. πŸ—£οΈ"Yanga SC wanajua Kabisa wanaenda Kucheza na Kocha anaejiamini sana, sasa nilivyojiamini wakati ule na Simba SC ndivyo hivyo hivyo ninavyojiamini kwa Yanga SC."- Julio.



Kim Jong Un akutana na  timu ya wanawake Korea Kaskazini
Kim Jong Un akutana na timu ya wanawake Korea Kaskazini

Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un amekutana na kuwapongeza wachezaji wa klabu ya wanawake ya Naegohyang waliotwaa ubingwa wa Asia, pamoja na timu ya wasichana chini ya miaka 17, ambapo wote walionyesha furaha kubwa na hata kulia kwa hisia. Timu hiyo pia ilishinda dhidi ya timu ya Japan na imefuzu mashindano ya kimataifa yajayo, jambo linaloonyesha mafanikio makubwa ya soka la wanawake nchini Korea Kaskazini. #bbcswahili #kimjongunπŸ‡°πŸ‡΅ #koreakaskazini Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw



Magori: Mauzo ya Ahoua, Kibu na Mukwala yalizaa kina Gueye na Oura
Magori: Mauzo ya Ahoua, Kibu na Mukwala yalizaa kina Gueye na Oura

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Crescentius Magori amesema uamuzi wa kuwauza nyota wao watatu ndiyo siri ya kuwasajili nyota wanane walioboresha kikosi hicho katika dirisha dogo na kupata timu ya ushindani. Akizungumza na Mwananchi Digital alipofanya ziara yake Kampuni ya Mwananchi, Tabata amesema hatua ya kutengeneza kikosi cha ushindani kinachoendelea kufanya vizuri haikuwa rahisi kutokana na kukosekana kwa bajeti ya kutosha. Magori alisema Simba ilisajili wachezaji wanane katika dirisha dogo la Januari ambao ni kipa Djibril Kassali, mabeki Nickson Kibabage, Ismaila Toure, viungo Libasse Gueye, Anicet Oura, Inno Loemba, Clatous Chama na mshambuliaji Baraka Mwangosi hiyo ilitokana na fedha walizopata baada ya mauzo ya wachezaji wake watatu. Januari wakati wa dirisha dogo Simba iliwauza, kiungo Jean Charles Ahoua aliyenunuliwa na CR Belouizdad ya Algeria, mshambuliaji Steven Mukwala na kiungo mshambuliaji Kibu Denis aliyeuza Al Nasri ya Libya.




« Previous Next »


Popular Tags

#Amazing Solo Goals  #Ronaldinho  #Stephen Curry  #Goalkeeper Saves  #New York Knicks  #Miami Heat  #Shot Goals  #Neymar  #Paul Pogba  #Russell Westbrook  

Popular Users

#NASA  #KimKardashian  #iamsrk  #BBCBreaking  #wizkhalifa  #oldhossradbourn  #DeionSanders  #DanicaPatrick  #espn  #realmadrid  #KevinHart4real  #JoelEmbiid  #twitter  #floydmayweather  #MichelleDBeadle