"NILIPOGEUKA TU AKAKATA ROHO!" BABA MZAZI WA MWIGIZAJI FREDY, ATAJA KINACHOMUUMIZA KIFO CHA MWANAYE
"NILIPOGEUKA TU AKAKATA ROHO!" BABA MZAZI WA MWIGIZAJI FREDY, ATAJA KINACHOMUUMIZA KIFO CHA MWANAYE

Baba wa marehemu mwigizaji Fredy Kiluswa, Nahum Kiluswa, ameiambia Mwananchi Digital kuwa kwa mara ya kwanza kijana wake alipata maradhi ya moyo akiwa safarini mwezi mmoja uliopita. Kiluswa amesema kuwa Novemba 16, 2024, marehemu alipozidiwa alikimbizwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili na kuwekwa kwenye chumba cha uangalizi maalumu. “Hali yake ilikuwa mbaya, alikuwa akipumua kwa shida, huku presha yake ikiwa juu na haikushuka kwa muda mrefu". Ameongeza kuwa marehemu hakuwa na historia ya magonjwa hayo hata alipokuwa mtoto. Fredy Kiluswa, aliyezaliwa mwaka 1992, ameacha mke na watoto wawili. Mwili wake utaagwa Jumanne, Novemba 19, 2024, katika viwanja vya Leaders Club kisha kuzikwa katika makaburi ya Kinondoni. Video na Khatibu Mgeja. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj

Povu la mashabiki Yanga: Kipigo hiki 3-1 tutaoza, tulilewa sifa, Vilio na Hasira vyatawala Chamazi!
Povu la mashabiki Yanga: Kipigo hiki 3-1 tutaoza, tulilewa sifa, Vilio na Hasira vyatawala Chamazi!

Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.

Ni kweli RAIS wa YANGA bado ana ugomvi na MAYELE?
Ni kweli RAIS wa YANGA bado ana ugomvi na MAYELE?

Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj

Ahmed Ally afunguka ukweli kuhusu Kagoma na Lameck Lawi | Ni aibu Simba ikikosa kufuzu makundi CAFCC
Ahmed Ally afunguka ukweli kuhusu Kagoma na Lameck Lawi | Ni aibu Simba ikikosa kufuzu makundi CAFCC

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally, amesema mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Al Ahli Tripoli ya Libya, itakayochezwa ugenini Septemba 15, 2024, itakuwa ngumu. Hata hivyo, amesema wamejipanga vyema ili kupata ushindi utakaowaweka katika nafasi nzuri kwa mechi ya marudiano. Pia amesisitiza, itakuwa aibu kubwa endapo timu hiyo itashindwa kufuzu makundi, na kwamba kauli mbiu ya 'Ubaya Ubwela' itawarudia kutokana na matarajio makubwa waliyojiwekea ya kufanikiwa 2024/25. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj

CHAMA anayepikwa na DENZEL TRAINER balaa jipya YANGA 🔥 Afichua kinachomponza 🤔
CHAMA anayepikwa na DENZEL TRAINER balaa jipya YANGA 🔥 Afichua kinachomponza 🤔

MWALIMU wa mazoezi, Denzel Trainer, ambaye ametrend katika mitandao ya kijamii akiwapa mazoezi ya kibabe watu mbalimbali maarufu wakiwamo nyota wa soka kama Pacome Zouzoua wa Yanga, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’ wa Simba na wengineo, amesema tizi analompa Clatous Chota Chama limechangia wepesi aliokouwa nao wakati akitoa yale maasisti manne na kufunga bao moja wakati Yanga ikiichakaza Vital’O ya Burundi 6-0 katika mechi ya marudiano ya hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj

COASTAL UNION wamerudisha hela yetu ya usajili wa LAMECK LAWI
COASTAL UNION wamerudisha hela yetu ya usajili wa LAMECK LAWI

Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj

KHÔNG GIỐNG HAALAND, VINICIUS, ĐÂY LÀ NGÔI SAO KO HỌC THEO CÔNG THỨC CỦA CR7 NHƯNG VẪN THÀNH CÔNG
KHÔNG GIỐNG HAALAND, VINICIUS, ĐÂY LÀ NGÔI SAO KO HỌC THEO CÔNG THỨC CỦA CR7 NHƯNG VẪN THÀNH CÔNG

Các bạn đam mê bóng đá? Thế thì các bạn tìm đúng nơi rồi đấy -)) -------------------------- Facebook: https://www.facebook.com/hoang.canthai/ Fanpage: https://www.facebook.com/hoangctneu Instagram: https://www.instagram.com/thaihoango19/ Tiktok: https://www.tiktok.com/@hoangctneu Email: canthaihoangjob@gmail.com Youtube: https://bit.ly/3IHcW7n Quần áo: https://boxcth1.passio.eco Nếu các bạn thấy mình tấu hề tốt: TP Bank: 04140471201 Cấn Thái Hoàng --------------------------- BẢN QUYỀN THUỘC VỀ HOÀNG CT-KHÔNG ĐƯỢC REUP COPYRIGHT BELONG TO HOÀNG CT-DO NOT REUP

เกิดอะไรขึ้นกับแรชฟอร์ด | On The Rock - Case 73
เกิดอะไรขึ้นกับแรชฟอร์ด | On The Rock - Case 73

เกิดอะไรขึ้นกับแรชฟอร์ด | On The Rock - Case 73 #MainStand #StandForAll #สื่อกีฬาที่เข้าถึงทุกคน #Feature #Football #Football #ontherock #เล่าเข้มๆ #กบกิตติกร #หมวยมาเฟียรี่ #ฟุตบอลพรีเมียร์ลีก #พรีเมียร์ลีก #PremierLeague #ManchesterUnited #MUFC #JimRatcliffe #ฟุตบอล #แมนยูล่าสุด #ข่าวแมนยู #บอบู๋ #เทนฮาก #RedDevils #นูสแซร์มัซราวี #โจชัวเซิร์กเซ่ #เลนี่โยโร่ #มาต์ไตส์เดอลิกท์ #NoussairMazraoui #DeLigt #LenyYoro #JoshuaZirkzee

« Previous Next »

Popular Tags

#Goal Celebrations  #Chicago Bulls  #Golden State Warriors  #Shot Goals  #Best Goalkeeper Saves  #Gareth Bale  #Kyrie Irving  #Stephen Curry  #Michael Jordan  #Best Goals  

Popular Users

#blakegriffin23  #TheChristinaKim  #Oprah  #instagram  #NASA  #jadande  #KimKardashian  #baseballpro  #akshaykumar  #RSherman_25  #LAKings  #obj  #SimplyAJ10  #LilTunechi  #espn