Mbeya City 1-0 Biashara United | Highlights | NBC Premier League 28/04/2022

Mbeya City FC imepata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Biashara United katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliopigwa leo kwenye Dimba la Sokoine jijini Mbeya. Goli pekee la ushindi kwenye mchezo huu limefungwa na Joseph Ssemuju dakika ya 24.

Tanzania Prisons 1-1 Mbeya City | Highlights | NBC Premier League 27/02/2022

Tanzania Prisons wamepata sare ya bao 1-1 dhidi ya Mbeya City ukiwa ni mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara #NBCPremierLeague uliopigwa leo kwenye Dimba la Sokoine jijini Mbeya. Adili Buha ndiye aliyeitanguliza Prisons dakika ya saba lakini Mbeya City wakachomoa dakika ya 86 kupitia kwa Ssemuju Joseph

Magoli | Tanzania Prisons 1-1 Mbeya City | NBC Premier League 27/02/2022

Popular Tags

#Football Skills  #Shot Goals  #New York Knicks  #Zlatan Ibrahimovi  #Best Goals  #Kobe Bryant  #Best Ball Controls  #Stephen Curry  #Shaquille O'Neal  #Best Goals  

Popular Users

#Kaepernick7  #BellaTwins  #MichelleDBeadle  #MieshaTate  #steveaustinBSR  #YouTube  #JLo  #blakegriffin23  #J_No24  #fauxpelini  #floydmayweather  #DeionSanders  #jimmyfallon  #narendramodi  #ladygaga