Tanzania Prisons wamepata sare ya bao 1-1 dhidi ya Mbeya City ukiwa ni mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara #NBCPremierLeague uliopigwa leo kwenye Dimba la Sokoine jijini Mbeya. Adili Buha ndiye aliyeitanguliza Prisons dakika ya saba lakini Mbeya City wakachomoa dakika ya 86 kupitia kwa Ssemuju Joseph