Tazama magoli yote wakati Yanga Princess ikishushiwa kichapo cha mabao 1-4 kwenye mchezo wa Ligi ya Wanawake Tanzania
🔴#LIVE: YANGA PRINCESS vs SIMBA QUEENS ( 1 - 4 ) - LIGI KUU YA WANAWAKE, UWANJA WA MKAPA ILE 'Derby' ya Kariakoo ya wanawake iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu ndio imechezwa leo Januari 08, kati ya Yanga Princess vs Simba Queens, katika Dimba la Mkapa jijini Dar. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
YANGA VS SIMBA: Timu ya Wanawake ya Simba imepata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya watani wao wa jadi Yanga Princess katika mchezo wa ligi ya wanawake uliopigwa leo kwenye Dimba la Uhuru, Dar es Salaam. Magoli ya Simba kwenye mchezo huu yamefungwa na Mwanahamisi Omary, Opah Clement na Joell Bukuru. Ushindi huu umeifanya Simba ikae kileleni ikifikisha pointi 39 huku Yanga wakibaki na pointi zao 38 katika nafasi ya pili. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz