Yamefungwa magoli saba, yote yakitoka Yanga dhidi ya Rhino Rangers kutoka Ligi Daraja la Pili, katika mchezo wa kusaka kuingia hatua ya 16 bora, Azam Sports Federation Cup uliopigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Kennedy Musonda amefunga magoli mawili dakika ya 16 na 46 huku mengine yakitoka kwa Dickson Ambundo dakika ya 7, Stephane Aziz Ki dakika ya 20, Farid Mussa dakika ya 25, Yannick Bangala dakika ya 26 na David Bryson dakika ya 90'+3. Kwa ushindi huu, Yanga sasa itakipiga dhidi ya Tanzania Prisons katika hatua ya 16 bora.
Miamba wa ligi kuu ya soka humu nchini Gor Mahia waliandikisha ushindi wao wa saba msimu huu wa mwaka 2022-2023 na ...
DISCLAIMER: This isn't footage of the game. Hello, Welcome to the Saba Show, In today's stream, we will be doing a live ...