OKWI ATAMBA SIMBA KUWA BORA ZAIDI, AWAPIGA NDANDA FC
OKWI ATAMBA SIMBA KUWA BORA ZAIDI, AWAPIGA NDANDA FC

Mshambuliaji nyota wa wa Simba , Emmanuel Okwi, akiongea na wanahabari baada ya kufunga bao dhidi ya ndanda FC



SIMBA VS NDANDA 1-0 ,GOLI la Okwi Lililoipa Simba Points Tatu
SIMBA VS NDANDA 1-0 ,GOLI la Okwi Lililoipa Simba Points Tatu

SIMBA VS NDANDA 1-0 ,GOLI la Okwi Lililoipa Simba Points Tatu Kikosi cha Simba kimeendelea kuunusa ubingwa wa Ligi Kuu kwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ndanda FC. Bao pekee katika mchezo huo limetiwa kimiani na Mshambuliaji wa kimataifa, Mganda, Emmanuel Okwi. Okwi alifunga bao hilo baada ya kupokea pasi safi kutoka kwa beki wa kulia, Shomari Kapombe. Matokeo hayaifanya Simba ifikishe alama 65 kwenye msimamo wa ligi huku Ndanda FC wakisalia kwenye nafasi 15 wakiwa na alama 23. lnstal GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli..



Bao la Okwi akiitanguliza Simba dhidi ya Ndanda SC (VPL - 06/05/2018)
Bao la Okwi akiitanguliza Simba dhidi ya Ndanda SC (VPL - 06/05/2018)

Mshambuliaji wa Simba SC Emmanuel Okwi amezidi kuonesha makeke kwa kuifungia timu yake bao la kwanza dhidi ya Ndanda Sc dakika ya 44 ya mchezo. Ni mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL) inayopigwa kwenye dimba la Taifa Dar es Salaam.



Kikosi kamili cha simba kinachoanza dhidi ya Ndanda
Kikosi kamili cha simba kinachoanza dhidi ya Ndanda

Kikosi kamili cha Simba kinachoanza dhidi ya Ndanda fc katika uwanja wa taifa leo,Simba ikiwania kujinyakulia kombe la VPL.




« Previous Next »


Popular Tags

#Gareth Bale  #Football Skills  #Counter Attack Goals Football  #Russell Westbrook  #Los Angeles Lakers  #Cleveland Cavaliers  #David Silva  #Stephen Curry  #Best Goals  #Tristan Thompson  

Popular Users

#JasonDufner  #BadgerMBB  #britneyspears  #SrBachchan  #nyt4thdownbot  #RSherman_25  #incarceratedbob  #katyperry  #baseballpro  #TheCUTCH22  #Cristiano  #SimplyAJ10  #jadande  #itsBayleyWWE  #BarackObama