Light at the end of the turnel
#skilztvke# Please Share, Like, Subscribe And Click The Notification Bell Remain Blessed.
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars SINTOFAHAMU imetanda baada ya kuwepo kwa tetesi kuwa msemaji wa Klabu ya Simba, Haji Manara kudaiwa kujiuzulu. Hayo yamejili baada ya Manara kuposti kwenye ukurasa wake wa Instagram maneno haya ambayo yametafsiriwa na wengi kuwa amebwaga manyanga. “Hivi vitimbi mnavyonifanyia kila siku kisa Simba vishanichosha, mwisho wa siku mtanitoa roho yangu kabla ya muda wangu… Imetosha kwa sasa!! Ubaya wote ni Haji lakini mafanikio ni yenu nyie Wakubwa… Kila siku ni Haji Haji Haji… “Mkitoka kunisingizia hili mtatengeneza cinema nyingine kwangu,,tunashindwa kujua kila Mja Mungu kampa fungu lake,,,,inakuwaje Rizki ya umaarufu wa mwenzio iwahangaishe kiasi hcho? “Likinitokea baya pakuanzia mnapo. Asanteni ndugu zangu na Mlipaji ni Mungu na ukweli utajulikana. IMETOSHA,” amendika na kuibua gumzo mtandaoni juu ya kile kilichomsibu. HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars
Uchambuzi wa mchezo wa robo fainali ya pili ya ligi ya mabigwa afrika kati ya Simba SC dhidi ya Kaizer Chiefs FC, mchezo utakao pigwa kunako dimba la Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam, majira ya saa 10:00 za jioni kwa saa za Afrika Mashariki.
LEAGUE:VODACOM PREMIER LEAGUE LOCATION: DAR ES SALAAM,TANZANIA STADIUM:BENJAMIN WILIAM MKAPA STADIUM Chakushangaza ni media ambayo inalenga kujuza,kuelimisha na kuleta makala ambazo watu wengi hawazijui tunapatikana katika mitandao mbalimbali ya kijamii Instagram kwa jina chakushangaza_ Telegram kwa jina chakushangaza Facebook kwa jina chakushangaza YouTube kwa jina chakushangaza online Link https://youtu.be/mwok1OCN2bs TUNAAMINI kua wewe ndio unaweza kua chachu ya kutuinua na kuifanya chakushangaza iwe kubwa zaidi basi gusa link kisha subscribe channel hiyo ya YouTube MUNGU AKUBARIKI 🙏🙏🙏🙏 #Benlaysh #benlayshFacts #CHfootball #chakushangaza
LOCATION :MOROGORO TANZANIA STADIUM: JAMUHURI LEAGUE: VODACOM PREMIER LEAGUE Chakushangaza ni media ambayo inalenga kujuza,kuelimisha na kuleta makala ambazo watu wengi hawazijui tunapatikana katika mitandao mbalimbali ya kijamii Instagram kwa jina chakushangaza_ Telegram kwa jina chakushangaza Facebook kwa jina chakushangaza YouTube kwa jina chakushangaza online Link https://youtu.be/mwok1OCN2bs TUNAAMINI kua wewe ndio unaweza kua chachu ya kutuinua na kuifanya chakushangaza iwe kubwa zaidi basi gusa link kisha subscribe channel hiyo ya YouTube MUNGU AKUBARIKI 🙏🙏🙏🙏 #Benlaysh #CHfootball #chakushangaza #benlayshsports