ASFCFinal | Kosakosa Yanga 3(4)-(1)3 Coastal Union - 02/07/202
ASFCFinal | Kosakosa Yanga 3(4)-(1)3 Coastal Union - 02/07/202

Hizi hapa nafasi za wazi zilizotengenezwa na timu zote mbili licha ya kutozaa matunda kwenye mchezo wa fainali ya Azam ...



SIMBA VS PLATINUM | Kosakosa zilizofanywa na timu zote mbili - CAFCL 06/01/2021
SIMBA VS PLATINUM | Kosakosa zilizofanywa na timu zote mbili - CAFCL 06/01/2021

Mbali na ushindi wa mabao 4-0, iliyoupata Simba dimbani Benjamin Mkapa, timu zote mbili zilipata nafasi kadhaa za kupachika mabao japo hazikuzaa matunda. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Kosakosa zote Simba ikiichakaza Polisi Tanzania (2-0) - VPL 9/12/2020
Kosakosa zote Simba ikiichakaza Polisi Tanzania (2-0) - VPL 9/12/2020

Tazama mashambulizi yaliyofanywa na timu zote mbili kwenye mchezo wa VPL kati ya Simba dhidi ya Polisi Tanzania, japo hayakuzaa matunda. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



KOCHA TRIANGLE Awaacha Midomo Wazi AZAM 'HAIKUWA RAHISI'
KOCHA TRIANGLE Awaacha Midomo Wazi AZAM 'HAIKUWA RAHISI'

KOCHA TRIANGLE Awaacha Midomo Wazi AZAM 'HAIKUWA RAHISI' MCHEZO wa kwanza hatua ya Kwanza kwenye Kombe la Shirikisho kwa kikosi cha Azam FC dhidi ya Triangle United umeongezeka uzito kwa wawakilishi wa Tanzania baada ya kupoteza mchezo. Bao pekee la wapinzani wa Azam FC, Triangel United ya Zimbabwe lilifungwa dakika ya 34 na Ralph Kawondera kutokana na uzembe wa safu ya ulinzi wa Azam FC. Licha ya Azam FC kupewa sapoti kubwa na mashabiki waliojitokeza uwanja wa Azam Complex hayakuzaa matunda kwani safu ya ulinzi ya Triangle United ilikuwa ngumu na ikajilinda na hatari zote. Sasa Azam FC ina kazi nzito ya kwenda kutafuta matokeo ugenini kwenye mchezo wa marudiano unaoatarajiwa kuchezwa kati ya Septemba 27-29 nchini Zimbabwe. Huu unakuwa ni mchezo wa kwanza wa kimataifa kwa Azam FC kupoteza kwa mara ya kwanza uwanja wa nyumbani kati ya tisa ambayo walishaicheza tangu mwaka 2008. Mzigo wa Azam Fc kwa sasa ni kuongeza spidi ya kutafuta mabao zaidi ya mawili kwenye mchezo wa marudio. https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App:



SIMBA SC 2-1 MTIBWA SUGAR, Simba Walivyotua Taifa Kibabe
SIMBA SC 2-1 MTIBWA SUGAR, Simba Walivyotua Taifa Kibabe

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars FULL TIME: SIMBA SC 2-1 MTIBWA SUGAR Dak ya 90+3, kadinya njano inakwenda kwa Salum Kanoni, dakika za jioni kabisa. Dakika zimeongezwa tatu kumaliza mpira, zimesalia mbili sasa. Dak ya 90, Jonas Mkude anaingia kuchukua nafasi ya Shiboub Dak ya 81, Imepigwa faulo ile kwake Kahata inamkuta na anajaribu kumalizia lakini mpira unamzidi kasi, golikiki. Dak ya 81, Mtibwa wanacheza faulo, inapigwa kuelekezwa langoni kwao, nafasi ya Simba kupata bao la tatu. Dak ya 79, Kahata anaingia kuchukua nafasi ya Chama. Dak ya 77, Kona nyingine kwa Simba, ni baada ya Kapombe kubabatizana na Kapombe. Inapigwa lakini inakuwa golikiki. Dak ya 74, Simba wanaanza tena upya, Yassin kwake Athuman, piga kwake Kado anadaka mpira. Dak 68, Mirajiiiiii, anaifungia Simba bao la pili kwa shuti kali akitoka kupokea pasi nzuri kutoka kwa Shiboub Dak ya 67, Mtibwa wanaonesha jitihada za kulinda zaidi eneo lao na wakifanya mashambulizi ya kushtukiza kwa Simba. Dak ya 63, Simba wamefanya shambulizi la kutisha langoni mwa Mtibwa lakini mawasiliano yamekuwa si mazuri na Mtibwa wanaokoa. Dak ya 62, Miraji Athuman anaingia kuchukua nafasi ya Hassan Dilunga. Dak ya 60, Simba wameanza tena, Chama anachukua, anampasia Nyoni, wanajribu kupenya ngome ya Mtibwa, kwake Kagere lakini Mtibwa wanawadhibiti. Dak ya 57, Tayari Kado ameshasimama na mpira umeshaanza, Simba wanaanza kwa kupasiana vema langoni mwa Mtibwa, unamkuta kwake Chama, anapiga shuti ambalo linapaa nje ya lango. Dak ya 55, Mpira umesimama, Kado ameumia, Kahata naye anaonekana kama anataka kuchukua nafasi ya mtu. Dak ya 52, Kado anaokoa nafasi nyingine kutoka kwa Yassin aliyepata nafasi ya kufunga, kama angekuwa dhaifu angeshafungwa zaidi ya bao mbili. Dak ya 52, Kagere anaotea, anaonekana kulalamika kwa kuonesha ana njaa ya kufunga. Dak ya 49, Aishi Manula anaanzisha upya mashambulizi, ni kipindi cha pili sasa. MAPUMZIKO: SIMBA SC 1-1 MTIBWA SUGAR Dak ya 47, Chama amepiga lakini inakwenda nje. Dak ya 46, Humud anapewa kadi ya njano baada ya kucheza madhambi, ni ya kwanza ndani ya dakika 45 za kwanza, ni faulo. Dak ya 44, Fraga anababatizana na mchezaji wa Mtibwa, mpira unakwena nje, unarushwa kuelekea Mtibwa. Dak ya 42, Tayari Shiboub alishaamka, na zikiwa zimesalia dakika mbili mpira kwenda mapumziko. Dak ya 41, Shiboub anafanyiwa madhambi, na mpira umesimama kwa muda. Dak ya 38, Kanoni anatolewa nje na machela baada ya kuumia, matokeo bado ni 1-1. Dak ya 37, Chamaaaaa, pata nafasi moja maridadi kabisa lakini shuti lake linakwenda moja kwa moja kwa Kado kwa kulidaka. Dak ya 33, Inapigwa lakini inakwenda moja kwa moja kwa Manula ambaye anapangua na kuuelekeza eneo la kati mwa uwanja. Dak ya 32, Mtibwa wanapata faulo, anakwenda kupiga Salum Kanoni, piga mkwaju mkali unapanguliwa na Manula, inakuwa kona. Dak ya 31, Mtibwa wanajichanganya eneo lao la ulinzi, Simba wanaudaka kwake Kagere, bahati si yake. Kipa anadaka. Dak ya 30, ni kona nyingine inapigwa kuelekezwa Mtibwa, anapiga Chama, piga kule lakini inababatizwa na wachezaji wa Simba, golikiki. Dak ya 28, Mpira umesimama kwa muda, mchezaji wa Mtibwa ameumia. Dak ya 27, Offside kwa, mpira unachezwa na Mtibwa. Dak ya 25, Kapombe anapasiana na Chama eneo la kati mwa Uwanja, maelewano yanakuwa si mazuri, na mpira unakuwa golikiki, unaelekezwa Simba. Dak ya 24, Mpira unarushwa kuelekea lango la Mtibwa, ni karibu na eneo la kona, umesharushwa na unatolewa tena. Dak ya 21, Rifat Hamis anaisawazishia Mtibw aSugar kwa mpira wa kichwa ulitokana na kona, ni 1-1. Dak ya 17, Goooli, Meddie Kagere anafunga bao la kwanza baada ya Simba kupasiana vema katika eneo la hatari, sasa ni 1-0. Dak ya 10, Golikiki imetokea upande wa Simba, wanaanza upya kwake Manula. Dak ya 9, Simba wanapata kona ya kwanza,wanapiga lakini inatolewa nje na Mtibwa, wanaenda kurusha, Chama anarusha. Dak ya 7, Simba wanatandaza pasi nzuri kuelekea Mtibwa, kwake Shomari Kapombe, anapiga krosi ambayo inashindwa kuzaa matunda. Dak ya 6, Kado anaokoa mpira uliopigwa na Chama akiwa peke yake, ni nafasi ambayo Simba wamngeshaandika bao. Dak ya 6, Bado Simba wanaonekana kuutawala mchezo zaidi ya Mtibwa kwa dakika hizi sita za mwanzo. Dak ya 4, Simba wanaanza faulo kwa kupasiana, anapiga Nyonii, inaokolewa na mabeki wa Mtibwa. Dak ya 3, Zimbwe Jr anakokotoa mpira na guu la kushoto kushoto mwa uwanja, mchezaji Awadhi Salum wa Mtibwa anashikana mkono, faulo. Dak ya 3, Manula anadaka mpira, anaanzisha mashambulizi upya. Dak ya 2, Rifat Hamis wa Mtibwa anapandisha mashambulizi kwenda Simba, ni la kwanza. Dak ya 1, mechi imeshaanza Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam, na Simba wameanza kwa kushambulia kwa kasi lango la Mtibwa. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars



ONA HII MBELGIJI WA SIMBA AANDAA DAWA HII HAPA YA KUWAMALIZA WABAYA WAO KIMATAIFA DAR.
ONA HII MBELGIJI WA SIMBA AANDAA DAWA HII HAPA YA KUWAMALIZA WABAYA WAO KIMATAIFA DAR.

#PATRICK Aussems,raia wa Ubelgiji ambaye ni Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa matokeo waliyoyapata jana kwenye mchezo wao wa kwanza dhidi ya UD Songo sio mabaya kwani bado wana nafasi ya kupata ushindi. Simba jana ilicheza mchezo wa kwanza wa kimataifa kwenye hatua ya awali dhidi ya UD Songo, uwanja wa Beira nchini Msumbiji mpaka dakika 90 kukamilika ubao ulikuwa unasoma 0 kwa UD Songo na Simba pia. "Tumefanya kitu kizuri kutoruhusu bao, juhudi kubwa za wachezaji wangu pamoja na juhudi za wapinzani zimeshindwa kuzaa matunda hivyo tunajiaanda kwa ajili ya mchezo wetu wa marudio. "Mchezo wetu wa marudio Dar, tuna nafasi ya kufanya vizuri, mashabiki watupe sapoti tutapambana," amesema. Simba itarudiana na UD Songo kati ya Agosti 23-25 jijini Dar, uwanja wa Taifa.



Tunda Man&Shetta Wafunguka Ushindi Wa Simba Dhidi Ya Al Ahly
Tunda Man&Shetta Wafunguka Ushindi Wa Simba Dhidi Ya Al Ahly

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars BAO la Meddie Kagere wa Simba, alilopachika wavuni dakika ya 64 dhidi ya Al Ahly ya Misri kwenye mchezo wa hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika lilitosha kuwamaliza waarabu na kubakiza pointi tatu Uwanja wa Taifa. Mchezo huo ulikuwa ni wa marudio kwa Simba baada ya kupoteza mchezo wa kwanza ugenini kwa kuchapwa mabao 5-0, wao leo wameamua kumuonjesha joto ya jiwe. Iliwalazimu Simba kusubiri mpaka dakika ya 64 baada ya mashambulizi ya muda mrefu kushindwa kuzaa matunda. Zana Coulibary ikiwa ni mchezo wake wa kwanza alianzisha mashambulizi pembeni kwa kumpa pasi John Bocco ambaye alituliza kwenye kifua na mpira kumfikia Kagere aliyemalizia kwa shuti lililozama ndani ya wavu. Kwa ushindi huo Simba wanakusanya pointi tatu na kufikisha jumla ya pointi sita wakiwa kundi D huku Al Ahly wakibaki na pointi zao saba wakiwa nafasi ya kwanza. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars



Simba Waondoka Kibabe Taifa Baada Ya Kuwafunga Al Ahly
Simba Waondoka Kibabe Taifa Baada Ya Kuwafunga Al Ahly

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars BAO la Meddie Kagere wa Simba, alilopachika wavuni dakika ya 64 dhidi ya Al Ahly ya Misri kwenye mchezo wa hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika lilitosha kuwamaliza waarabu na kubakiza pointi tatu Uwanja wa Taifa. Mchezo huo ulikuwa ni wa marudio kwa Simba baada ya kupoteza mchezo wa kwanza ugenini kwa kuchapwa mabao 5-0, wao leo wameamua kumuonjesha joto ya jiwe. Iliwalazimu Simba kusubiri mpaka dakika ya 64 baada ya mashambulizi ya muda mrefu kushindwa kuzaa matunda. Zana Coulibary ikiwa ni mchezo wake wa kwanza alianzisha mashambulizi pembeni kwa kumpa pasi John Bocco ambaye alituliza kwenye kifua na mpira kumfikia Kagere aliyemalizia kwa shuti lililozama ndani ya wavu. Kwa ushindi huo Simba wanakusanya pointi tatu na kufikisha jumla ya pointi sita wakiwa kundi D huku Al Ahly wakibaki na pointi zao saba wakiwa nafasi ya kwanza. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars




Next »


Popular Tags

#Michael Jordan  #Goalkeeper Saves  #Los Angeles Lakers  #Gareth Bale  #Luis Suarez  #Goalkeeper Saves  #Manuel Neuer  #Best Goals Ever  #Lionel Messi  #Russell Westbrook  

Popular Users

#floydmayweather  #JJWatt  #blakegriffin23  #CMPunk  #MileyCyrus  #SHAQ  #Ky1eLong  #THNRyanKennedy  #akshaykumar  #UKCoachCalipari  #themichaelowen  #criscyborg  #DwyaneWade  #katzm  #jtimberlake