Leo Mei 3 2023, katika Dimba la Majaliwa Ruangwa Mkoani Lindi inapigwa Mbungi ya Ligi kuu ya NBC kati ya Wauaji wa kusini,Namungo FC na Mnyama,Simba SC,Saa Moja Jioni . Mpenja TV tunakuletea Taarifa zote kabla na baada ya Mbungi hiyo
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC,Ahmed Ally ameeleza Maandalizi yao ya Mchezo wa kesho Jumatano Mei 3 2023 wa Ligi kuu ya NBC dhidi ya Namungo FC,Utakaochezwa Saa Moja Usiku,Uwanja wa Majaliwa Ruangwa Mkoani Lindi .