AHMED ALLY "MAMBO YANAZIDI KUWA MAGUMU KWA UPANDE WETU/MWENYE KUKATA TAMAA AKATE/KICHUYA KABUNDA.. by @Mpenja TV - Post Details
AHMED ALLY "MAMBO YANAZIDI KUWA MAGUMU KWA UPANDE WETU/MWENYE KUKATA TAMAA AKATE/KICHUYA KABUNDA..
Leo Mei 3 2023, katika Dimba la Majaliwa Ruangwa Mkoani Lindi inapigwa Mbungi ya Ligi kuu ya NBC kati ya Wauaji wa kusini,Namungo FC na Mnyama,Simba SC,Saa Moja Jioni .
Mpenja TV tunakuletea Taarifa zote kabla na baada ya Mbungi hiyo