ALICHOKIFANYA MANARA Baada ya SIMBA Kumfunga AL AHLY, MACHOZI YAMEMTOKA...
ALICHOKIFANYA MANARA Baada ya SIMBA Kumfunga AL AHLY, MACHOZI YAMEMTOKA...

ALICHOKIFANYA MANARA Baada ya SIMBA Kumfunga AL AHLY, MACHOZI YAMEMTOKA... kama ilivyo kawaida yake Ofisa habari wa klabu ya Simba, Haji Manara, klabu yake ikishapata ushindi tu basi huwa hawezi kukaa kimya, na ndicho haswa kilichotokea leo baada ya Simba kumfunga goli moja klabu ya Al Ahly ya Misri, katika mchezo wa ligi ya Mabingwa Afrika, basi akaingia kwenye mahakama yake ( Instagram) na kumwaga sera zake.. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline



'MAHAKAMA' Yaingilia Kati GOLI la 'OFFSIDE'  SIMBA "Wamebebwa"
'MAHAKAMA' Yaingilia Kati GOLI la 'OFFSIDE' SIMBA "Wamebebwa"

'MAHAKAMA' Yaingilia Kati GOLI la 'OFFSIDE' SIMBA "Wamebebwa" HUKU Mashabiki wakidai baadhi ya timu zinabebwa Na waamuzi kwa kupewa mabao ya kuotea ikiwemo Simba, Chama cha Waamuzi Tanzania (FRAT) ambacho kipo chini ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kimetoa onyo na kudai watawapiga msasa mkali kabla ya mzunguko wa pili. UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982) ( +255 676 229628) HABARI MPYA DAILY:https://www.youtube.com/playlist?list... HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:https://www.youtube.com/playlist?list... GLOBAL RADIO TV:https://www.youtube.com/playlist?list... EXCLUSIVE INTERVIEW:https://www.youtube.com/playlist?list... Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania Subscribe http://bit.ly/globaltvonline



GOLI la KAGERE Kwa NAMUNGO, 'MAHAKAMA' Yaingilia KATI - "OFFSIDE"
GOLI la KAGERE Kwa NAMUNGO, 'MAHAKAMA' Yaingilia KATI - "OFFSIDE"

GOLI la KAGERE Kwa NAMUNGO, 'MAHAKAMA' Yaingilia KATI - "OFFSIDE" Bao la Simba ambalo lilifungwa na mshambuliaji wake Meddie Kagere na kuzua maswali mengi kwa wadau wa Soka kwamba ni off side mahakama ya wananchi ikaingia mtaani na kuzungumzia juu walichikiona kwenye mechi hiyo iliyomalizika kwa ushindi wa Simba kwa mabao 3-2 uliochezwa juzi katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982) ( +255 676 229628) HABARI MPYA DAILY:https://www.youtube.com/playlist?list... HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:https://www.youtube.com/playlist?list... GLOBAL RADIO TV:https://www.youtube.com/playlist?list... EXCLUSIVE INTERVIEW:https://www.youtube.com/playlist?list... Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania Subscribe http://bit.ly/globaltvonline



DONDOO ZA MAGAZETI YA LEO – AZAM TV 24/10/2019
DONDOO ZA MAGAZETI YA LEO – AZAM TV 24/10/2019

• Mahakama yasema kuolewa ni miaka 18 • Ndugai awaweka ruho juu wabunge • Chadema yaja na upepo wa kisulisuli • Yanga yatamba kuifunga Pyramids • Simba, Azam zatembeza ubabe uwanja wa Taifa #MorningTrumpet #AzamTVUpdates #AzamTVApp #AzamTV #AzamTWO #AzamTVHabari #Habari #UTV #UFM



'MAHAKAMA' DAKIKA 7 Zamponza Mwamuzi SIMBA VS JKT TANZANIA
'MAHAKAMA' DAKIKA 7 Zamponza Mwamuzi SIMBA VS JKT TANZANIA

'MAHAKAMA' DAKIKA 7 Zamponza Mwamuzi SIMBA VS JKT TANZANIA MASHABIKI wa soka nchini wanaweza wakawa chanzo kikubwa sana cha kudidimia kwa mpira kama wataendelea na mfumo walionao sasa ambao unaendeshwa na "kulaumu tu." Hakika inashangaza sana kuwaona mashabiki wa soka kila siku wakiwa wanalaumu kwa kila jambo linalotokea katika mpira na kuufanya ndio kuwa ushabiki hasa wa mpira. Inawezekana ndani ya mpira wenyewe, mashabiki hawajui kwa nini wanashabikia na wengi wamekuwa hivyo ingawa inakuwa vigumu pia kwao kujua kama hawajitambui. Mfano, mmoja akiwa shabiki wa Yanga anaonekana ni adui anapokuwa na mashabiki wa Simba. Au anayeishabikia Simba anapaswa kutopendwa na mashabiki wa Yanga, jambo ambalo ni ajabu sana. Vipi watu wote wanaweza kuishabikia Yanga tu, au Simba tu! Lakini utakuwa vipi Yanga wasiwepo Simba? Utacheka na nani, utashindana na nani na nini maana ya ushabiki? Kuna haja ya kujifunza na kujua au kujiuliza kwa nini wewe ni shabiki? Kama unapenda kufurahi na kuheshimiwa, lazima uje kwamba na wengine wanastahili kupata kama hicho chako. Kilichonigusa hadi kuingi a mtaanai ya kuongea na mashabiki wa sokani jambo la dakika, ni baada ya Simba kushinda bao 1-0 dhidi ya JKT Tanzania. Bao la Simba lilifungwa na Hassan Dilunga mwishoni mwa dakika saba za nyongeza. #MAHAKAMAYAWANANCHI www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho




« Previous


Popular Tags

#Best Ball Controls  #James Harden  #LeBron James  #Los Angeles Lakers  #Golden State Warriors  #Anthony Davis  #Franck Ribery  #Luis Suarez  #Counter Attack Goals Football  #Stephen Curry  

Popular Users

#nytimes  #TheChristinaKim  #JJWatt  #sportspickle  #JoelEmbiid  #Kaepernick7  #BaileyLAKings  #BizNasty2point0  #darrenrovell  #kobebryant  #ddlovato  #ochocinco  #incarceratedbob