Timu ya Police imeandikisha ushindi wake wa 15 ligini msimu huu baada ya kuishinda Sofapaka mabao 3-0 kwenye mechi ya ligi ...
Prince Dube ameifunga Simba kwa mara ya tatu msimu huu, Azam FC wakishinda mabao 2-1 katika mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports #AzamSportsFederationCup , mechi ikipigwa kwenye Uwanja wa Nangwanda Sijaona, Mtwara. Azam walianza kwa goli la Lusajo Mwaikenda dakika ya 22 na Simba kusawazisha dakika ya 28 kupitia kwa Sadio Kanoute kabla ya Dube kumaliza kazi dakika ya 75.
Tazama mambo yalivyokuwa wakati Tanzania Prisons ikiichapa Geita Gold mabao 1-3 kwenye dimba lao la nyumbani la ...
Tazama magoli yote wakati Tanzania Prisons ikiichapa Geita Gold mabao 1-3 kwenye dimba lao la nyumbani la Nyankumbu.
Haya hapa mabao yote manne na matukio kwenye mchezo wa NBC Premier League kati ya Ruvu Shooting dhidi ya Azam FC, ...
Haya hapa mabao yote manne kwenye mchezo wa NBC Premier League kati ya Ruvu Shooting dhidi ya Azam FC, Mabao ya ...
KARIAKOO DERBY: Magoli mawili kutoka kwa Hennock Inonga na Kibu Denis yameipa Simba ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya ...