Timu ya Shabana FC ndio mabingwa wa kombe la NSL
Timu ya Shabana FC ndio mabingwa wa kombe la NSL

Shabana FC yenye makao yake mjini Kisii ndio mabingwa wa kombe la NSL baada ya kuishinda Kisumu All-Stars mabao 2-0 ...



Shabana FC wamemaliza ligi kwa alama 73
Shabana FC wamemaliza ligi kwa alama 73

Shabana FC wamenyakua taji la supa ligi baada ya kuwalaza kisumu allstars ,mabao mawili kwa nunge uwanjani gusii kaunti ya ...



MBWADUKE: HUYU ONANA AKITUA SIMBA BALAA LAKE LITAKUWA KUBWA CAF/HATARI KWA MABAO/ASSISTS KAMA CHAMA
MBWADUKE: HUYU ONANA AKITUA SIMBA BALAA LAKE LITAKUWA KUBWA CAF/HATARI KWA MABAO/ASSISTS KAMA CHAMA

#tpmazembe #timuyawananchi #tpmazembe #rajacasablanca #daimambelenyumamwiko #daimond #timuyawananchi #mkapastadium #sisco #milladayo #tanzania #utalii #simba #simbafans #tff #caf #yanga #michelo #mbwaduke #gsm #nbcsports #nbcsports #sportspesa #feitoto #tpmazembe #robertinho #rajacasablanca #mbet #phiri #baleke #bocco #ntibazonkiza #tanzania #live #livestream #trendingshorts #manara #teamindia #nguvumo



Murang'a Seal yakung'uta Shabana FC
Murang'a Seal yakung'uta Shabana FC

Timu ya Murang'a Seal imesitisha kwa muda sherehe za Shabana FC na ushindi wa mabao 2-1 mjini Murang'a. Shabana ilihitaji ...



Magoli | Mbeya City 2-1 Namungo | U20 Premier League 25/06/2023
Magoli | Mbeya City 2-1 Namungo | U20 Premier League 25/06/2023

Timu ya vijana ya Mbeya City U20 imepata ushindi wa pili kwa kuitandika Namungo U20 mabao 2-1 katika muendelezo wa Ligi ...



Highlights | Mashujaa 3-1 Mbeya City | Play off | Premier League/Championship 19/06/2023
Highlights | Mashujaa 3-1 Mbeya City | Play off | Premier League/Championship 19/06/2023

Timu ya Mashujaa FC ya Kigoma kutoka ligi ya Championship imeitandika Mbeya City kutoka Ligi Kuu ya NBC mabao 3-1 katika ...



Magoli | Team Samatta 4-2 Team Kiba | SamaKiba 20/06/2023
Magoli | Team Samatta 4-2 Team Kiba | SamaKiba 20/06/2023

NIFUATE 2023: Team Samatta chini ya mwanandinga Mbwana Samatta imeendeleza ubabe dhidi ya Team Kiba iliyo chini ya msanii Alikiba kwa kupata ushindi wa mabao 4-2 katika mchezo wa hisani chini ya #SamakibaFoundation uliopigwa leo kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi. Abdul Suleiman Sopu amepiga #hattrick dakika ya 45', 63' na 71 huku goli lingine likifungwa na John Bocco aliyefungua mlango wa magoli dakika ya 21. Magoli ya Team Kiba yametoka kwa Ayoub Lyanga 69 na Msanii wa bongo fleva, Mario dakika ya 90'+4. Haya hapa magoli... #Nifuate2023 #NifuateDay #SamakibaFoundation #SAMAKIBA #TeamSamatta #TeamKiba #UpendoWaZambarau #SamattaFriends #AlikibaFriends #UpendoWaZambarau




« Previous Next »


Popular Tags

#Kevin Durant  #LeBron James  #Zlatan Ibrahimovi  #Goalkeeper Saves  #Kawhi Leonard  #Paul George  #Best Goals Ever  #Best Champions League  #Best Goals  #Best Goalkeeper Saves  

Popular Users

#alexmorgan13  #CP3  #taylorswift13  #RobbieSavage8  #IAmJericho  #rolopez42  #CMPunk  #dougferguson405  #TheCUTCH22  #BeingSalmanKhan  #Kaepernick7  #BrunoMars  #JayBilas  #narendramodi