EBWANEEE!!! JEZI MPYA ZA SIMBA MSIMU WA 2023/2024 NI HATARI RASMI SIMBA YATOA TAMKO BAADA YA KUVUJA
EBWANEEE!!! JEZI MPYA ZA SIMBA MSIMU WA 2023/2024 NI HATARI RASMI SIMBA YATOA TAMKO BAADA YA KUVUJA

EBWANEEE!!! JEZI MPYA ZA SIMBA MSIMU WA 2023/2024 NI HATARI RASMI SIMBA YATOA TAMKO BAADA YA KUVUJA #simba #jezimpyazasimba #uchambuzi #usajilimpya #ahmedally #hajimanara



KIMENUKA HAJI MANARA AMJIBU FEI TOTO AVUJISHA SAUTI FEITOTO AKIFUNDISHWA KUIONGELEA MABAYA YANGA SC!
KIMENUKA HAJI MANARA AMJIBU FEI TOTO AVUJISHA SAUTI FEITOTO AKIFUNDISHWA KUIONGELEA MABAYA YANGA SC!

KIMENUKA HAJI MANARA AVUJISHA SAUTI FEI TOTO AKIFUNDISHWA NAMNA YA KUIONGELEA YANGA KWA MABAYA LEO!!In @mangekimambi_ voice,,Fei achafua hali ya hewa,, Mungu huwa na sababu zake hadi kuwezesha hii Clip kuvuja, Feisal na Meneja wake wakifundishana jinsi ya kujibu uongo. Eti Ugali na Sukari alikula Yanga wakati wa utawala uliopita na sio sasa,hivi Kuna Mtu nchi hii anakula Ugali na Sukari? Ipo Club inafanya hivyo nchini? Meneja unadiriki kumfundisha huyo Mtoto aseme uongo ili udhalilishe watu? Mara Msola mzuri mara utawala wake ulimlisha Ugali na Sukari? Hivi unapomfundisha kuwa Hersi @caamil_88 alimyanyasa, kwa nini husemi hayo manyanyaso? Mmemuingiza chaka huyu dogo lakini ioo siku fahamu zitamrudia na atakuja kuwachukia maisha yenu yote. Hivi mshajua kwa nini hizo Sauti zenu zimavuja? Ni Mungu huyo kataka kuwadhalilisha, halaf mmeenda Makka kuhiji? Hijja gani mnayo wakati mnafundishana dhulma ya kuwachafua wenzenu Hakuna Taqwa hapo na Mungu kawaumbua Kweupeeee,,Bad luck mmevujisha wenyew bila kujijua,,Na Sisi tunapeleka hii Clip CAS kama kielelezo cha nia ovu ya tamaa ya wanaomzunguka ktk kulazimisha kuvunja mkataba,, Hata ile michongo kumbe ni gia tu ya kujipatia pesa,,Kiko wapi sasa? Mmemuona Mungu alivyo Mtukufu? Asante sana Muumba wetu,,🙏🏻🙏🏻 #hajimanara #feisal #feisalsalum #feitoto #yangasc #yangasc



🔴#LIVE: SIMBA SC vs ORLANDO PIRATES ( 1 - 0 ) - ROBO FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO, UWANJA WA MKAPA...
🔴#LIVE: SIMBA SC vs ORLANDO PIRATES ( 1 - 0 ) - ROBO FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO, UWANJA WA MKAPA...

🔴#LIVE: SIMBA SC vs ORLANDO PIRATES ( 1 - 0 ) - ROBO FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO, UWANJA WA MKAPA... Klabu ya soka ya Simba imeshuka katika dimba la Mkapa kwa ajili ya kuvuja jasho kwa dakika 90 dhidi ya Orlando Pirates, katika mtanange wa robo fainali ya kombe la shirikisho Afrika. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline



Haji Manara Afunguka Sauti Yake Kuvuja Akimchana C.E.O SIMBA, Amtaja Tena Barbara
Haji Manara Afunguka Sauti Yake Kuvuja Akimchana C.E.O SIMBA, Amtaja Tena Barbara

Share, Support, Subscribe!!! Subscribe: UC-4fDfmsXy9hIcEmPKbARIQ Youtube: https://www.youtube.com/c/HZBTV Twitter: ...



MWIJAKU Amchana KAJALA baada ya VIDEO za PAULA na RAYVANNY KUVUJA  MTANDAONI
MWIJAKU Amchana KAJALA baada ya VIDEO za PAULA na RAYVANNY KUVUJA MTANDAONI

........................................................... Contact Us : 0742447854 ------------------------------------------------------------------------------- Instagram https://www.instagram.com/rickmediatz/?hl=en --------------------------------------------------------------------------------- Facebook https://web.facebook.com/rickmediatz --------------------------------------------------------------------------------- Website www.rickmediatz.com -----------------------------------------------------------------------------------



AZAM VS YANGA: Utata kijasho cha Mkuu wa idara ya habari Azam
AZAM VS YANGA: Utata kijasho cha Mkuu wa idara ya habari Azam

“Mtu aliyekuwa na funguo alikuwa mbali sana…”- Mkuu wa idara ya habari na mawasiliano Azam Fc Thabit Zakaria, akieleza kilichomsibu mpaka kupelekea kuvuja jasho wakati wa mechi kati ya Azam na Yanga iliyochezwa Novemba 25 katika dimba la Chamazi. #LigiKuuTanzaniaBara #VPLUpdates #VPL #VodacomPremierLeague #AzamFC #YangaSC #AzamYanga Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz




Next »


Popular Tags

#Mesut Ozil  #Chris Paul  #Best Goals Ever  #Gareth Bale  #Goal Celebrations  #Kawhi Leonard  #Shaquille O'Neal  #Paul Pogba  #Kawhi Leonard  #Gareth Bale  

Popular Users

#floydmayweather  #themichaelowen  #KylieJenner  #tigerwoods  #YouTube  #TheRock  #jadande  #billsimmons  #StephenCurry30  #KimKardashian  #CMPunk  #OleksiakPenny  #DjokerNole