DUUH! TIZAMA GOLI LA SHALULILE ALILOIFUNGIA YANGA LEO/ KOCHA HAAMINI ALICHOFANYA ```````````````````````````````````````````````````` Facebook Page @chazymedia instagram @chazymedia Tiktok @chazymedia ``````````````````````````````````````````````````````````````
#SimbaSC #SimbaDay2026 #Utambulishowachezajisimbaleo Simba Day 2026 List ya wachezaji wote waliotemwa msimu huu Simba Sc 1. Mussa Camara 2. Chamou Karaboue. 3. Naby Camara. 4. Edwin Balua. 5. Joshua Mutale. 6. Awesu Awesu. 7. Omari Omari. 8. Moussa Camara. 9. Mzamiru Yassin 10. Ladack Chasambi 11. Jonathan Sowah 12. Mohamed Bajaber 13. Allasane Kante 14. Inno Loemba 15. Salehe Karabaka Mkopo Pamba Jiji NB Seleman Mwalimu Bado 50/50 Simba inapambana kumpata Wachezaji wapya Waliosajiliwa Simba msimu huu 1. Keletso Makgalwa 2.Ibraheem Jabaar 3. Ibrahim Doumbia 4. Kelvin Nashon 5.Bakari msimu 6.Nathaniel Chilambo Wachezaji wote 12 wa Kigeni wa Simba msimu huu 1:๐ณ๐ชMamadou Kassali 2:๐จ๐ฎIsmael Toure 3:๐ฟ๐ฆRushine De Reuck 4:๐ธ๐ณLibase Gueye 5:๐จ๐ฉEllie Mpanzu 6:๐ฟ๐ฆNeo Maema 7:๐ฟ๐ฒCloutas Chama 8:๐จ๐ฎAnicet Oura 9:๐ณ๐ฌIbraheem Jabaar 10:๐ฟ๐ฆKeletso Makgalwa 11:๐ฒ๐ฑIbrahim Doumbia 12:๐จ๐ฌInnocent Loemba NB Loemba muda wowote Anaweza kutolewa Simba Iko mbioni kutafuta Straika na anayehusishwa ni Gelson Dala kutoka Angola maana Kocha Steve Berker amejiridhisha kuwa Loemba hatoshi kwenye timu yake WACHEZAJI WA SIMBA KWA NAMBA ZAO MAGOLIKIPA 1. Mahamoud Kassali 2. Hussein Abel 3. Alex Alex U20 4. Yakoub Suleiman MABEKI WA KULIA 1. Shomari Kapombe 2. Nathaniel Chilambo 3. David Kameta Duchu MABEKI WA KUSHOTO 1. Nickson Kibabage 2. Anthony Mligo MABEKI WA KATI 4&5 1. Hussein Mbegu 2. Rushine De Reuck 3. Ismail Toure 4. Wilson Nangu 5. Abdulrazack Hamza 6. Vedastus Masinde VIUNGO 1. Yusuf Kagoma 2. Ibraheem Jabaar 3. Libase Gueye 4. Keletso Makgalwa 5. Kelvin Nashon 6. Clatous Chama 7. Ellie Mpanzu 8. Allasane Kante 9. Alexander Erasto 10. Anicet Oura 11. Inno Loemba 12. Charles Semfuko 13. Bakari Msimu 14. Morice Abraham WASHAMBULIAJI 1. Ibrahim Doumbia 2. Emmanuel Mwangosi 3. Seleman Mwalimu Wachezaji 32 wa Simba SC una Maoni gani juu ya Jeshi hili
#Petershalulile #JeanGirumugisha #Azizki #Yangasc #Tetesizausajilimpya Wachezaji wa Yanga Waliosajiliwa Leo 1. Justice Figuareido kutoka Chipa United South Africa raia wa Eswatin ,TAKWIMU ZA JUSTICE FIGUAREIDO | MSIMU WA 2025/26 ๐ธ๐ฟ Nyota wa kimataifa wa Eswatini, Justice Figuareido, ambaye hucheza kama winga na pia mshambuliaji wa kati ๐ฟ๐ฆ BETWAY PREMIERSHIP (Chippa United) โฝ Mechi: 26 ๐ฅ Magoli: 2 ๐ฏ Asisti: 5 โฑ๏ธ Dakika alizocheza: 1,858 ๐ FIFA World Cup Qualifiers (Eswatini) ๐ธ๐ฟ Mechi: 9 โฝ Magoli: 3 2. Thulani Gumede winga huyu kutoka Richardbay ya Afrika kus Rasmi niko hapa kuthibitisha Young Africans SC ๐น๐ฟ ipo hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa Winga Thulani Gumede mwenye umri wa miaka (25) raia wa Afrika Kusini ๐ฟ๐ฆ kutoka Richards Bay FC kwaajili ya kuitumikia klabu hiyo kwa msimu ujao 2026-27. Thulani Gumede ni pendekezo la kocha mpya wa Klabu hiyo Manqoba Mngqithi, Hii ni mara baada ya kumkosa Winga Keletso Makgalwa aliyetimkia Simba SC kwa ushawishi mkubwa zaidi wa kocha Steve Barker, Gumede ana uwezo wa Kucheza Winga ya Kulia na Kushoto kwa ustadi mkubwa, Akiwa na Richards Bay amefunga Mabao (5) na Assists (5) katika Mechi (64). 3. Housseine Zakouani Winga kutoka Ufaransa lkn anawakilisha timu ya Taifa ya Comoro . 4.Azizi Ki amerejea tena Yanga Kwa mkataba wa Miaka 2 kutoka Al Ittihad ya libya 5. Eric Mwijage Winga kutoka KMC amewahi kupita pia Kagera Sugar amesaini mkataba wa Miaka 2 6. Mohamed Mussa mlinzi wa kati kutoka Mashujaa 7.Juma Abushir Aka Messi wa Chuga kutoka Fountain Gate 8. Hussein Juma Mihambo straika kutoka Mashujaa amewahi kupita jomo cosmas ya south Africa na aliwahi kufanya majaribio Dubai ni kinda aliyetikisa Zaidi na Serengeti Boys,msimu huu Kafunga goli 1 pekee dhidi ya Fountain Gate 9. Abdulnasir Asa Gamal Mlinzi/Winga Mashujaa 10. Morice Chukwu kiungo na mlinzi wa kati Kutokea Singida BS Tetesi wanaohusishwa kusajiliwa 1. Jean Girumugisha WINGA fundi na hatari Zaidi Barani Africa MVP wa Ligi ya Rwanda msimu uliopita alihusishwa kutambulishwa na mabwanyenye wa Libya Al Ahly Tripol lakini inaonekana Yanga wamemnasa ngoja tusubiri muda utafika inaelezwa hii itakuwa surprise package ya Yanga pale uhuru stadium kwenye Yanga Day 9.8.2026 2. Alphonce Mabula mtanzania anayekipiga huko Bahrain Azerbaijan 3. Peter shalulile mshambuliaji wa Namibia na Mamelod Sundown Wachezaji wanaotemwa Yanga 1. Prince Dube amejiunga na hard rock ya Zimbabwe kwao 2. Mohamed Damaro 3. Frank Assink 4. Bubah Jammeh 5. Mohamed Doumbia 6. Balla Conte 7.Farid Mussa free agent 8. Celestine Ecua 9. Israel Mwenda amerejea Singida BS 10.Lassine kouma 11. Emmanuel Mwanengo Mkopo ameenda Singida 12. Shekhan Khamis Mkopo Singida BS Walioongezewa mkataba mpya 1. Yao kouassi 2. Kibwana shomari 3.Salum Abubakari Sure boy 4. Chadrack Boka 5. Bakari Mwamnyeto Wachezaji wa Kigeni waliosalama Yanga Sc 1.๐ฒ๐ฑ Djigui Diarra 2.๐จ๐ฎ Yao Kouassi 3.๐จ๐ฉ Chadrack Boka 4.๐ฐ๐ช Duke Abuya 5.๐จ๐ฉ Maxi Nzengeli 6.๐ฆ๐ด Laurindo Depu 7.๐บ๐ฌ Allan Okello 8.๐จ๐ฎ Pacome Zouzoua
Pata habari motomoto za muziki, burudani, utamaduni, siasa, matukio, habari za kina, na michezo kupitia Wasafi Media. Hii Ni Yetu Sote. https://wasafimedia.co.tz/ ๐ช๐๐๐๐๐๐๐๐ ยฉ2025 ๐พ๐๐๐๐๐ ๐ด๐๐ ๐๐. ๐จ๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ . #wasafi #wasafitv #wasafifm
#Yangasc #Yangaleo #alikamwe #usajilimpyayanga #Enghersi Wachezaji wa Yanga Waliosajiliwa Leo 1. Justice Figuareido kutoka Chipa United South Africa raia wa Eswatin ,TAKWIMU ZA JUSTICE FIGUAREIDO | MSIMU WA 2025/26 ๐ธ๐ฟ Nyota wa kimataifa wa Eswatini, Justice Figuareido, ambaye hucheza kama winga na pia mshambuliaji wa kati ๐ฟ๐ฆ BETWAY PREMIERSHIP (Chippa United) โฝ Mechi: 26 ๐ฅ Magoli: 2 ๐ฏ Asisti: 5 โฑ๏ธ Dakika alizocheza: 1,858 ๐ FIFA World Cup Qualifiers (Eswatini) ๐ธ๐ฟ Mechi: 9 โฝ Magoli: 3 2. Thulani Gumede winga huyu kutoka Richardbay ya Afrika kus Rasmi niko hapa kuthibitisha Young Africans SC ๐น๐ฟ ipo hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa Winga Thulani Gumede mwenye umri wa miaka (25) raia wa Afrika Kusini ๐ฟ๐ฆ kutoka Richards Bay FC kwaajili ya kuitumikia klabu hiyo kwa msimu ujao 2026-27. Thulani Gumede ni pendekezo la kocha mpya wa Klabu hiyo Manqoba Mngqithi, Hii ni mara baada ya kumkosa Winga Keletso Makgalwa aliyetimkia Simba SC kwa ushawishi mkubwa zaidi wa kocha Steve Barker, Gumede ana uwezo wa Kucheza Winga ya Kulia na Kushoto kwa ustadi mkubwa, Akiwa na Richards Bay amefunga Mabao (5) na Assists (5) katika Mechi (64). 3.Nasri Kombo Kutoka TRA United 4.Abdulnasir Asa Gamal Mlinzi/Winga Mashujaa 5.Azizi Ki 6. Mohamed Mussa mlinzi wa kati kutoka Mashujaa 7.Samba Kone Kutoka Muna FC ya Ivory Coast Mlinzi wa Kushoto 8.Juma Abushir Aka Messi wa Chuga kutoka Fountain Gate . Emmanuel Flomo ๐นKlabu ya wananchi Yanga imefikia makubaliano binafsi (personal terms) na winga hatari wa kulia wa Liberia na klabu ya Al Hilal Omdurman ya Sudan,Emmanuel Flomo (18). -Yanga wanajaribu utaratibu wa kuvunja mkataba wa mchezaji huyo katika klabu yake ya Al Hilal ya Sudan. -Flomo amefunga mabao 12 Msimu uliopita na kuibuka mchezaji chipukizi katika ligi ya Rwanda. Wachezaji wanaotemwa Yanga 1. Prince Dube amejiunga na hard rock ya Zimbabwe kwao 2. Mohamed Damaro 3. Frank Assink 4. Bubah Jammeh 5. Mohamed Doumbia 6. Balla Conte 7. Abubakari Salum sure boy free agent 8. Farid Mussa free agent 9. Celestine Ecua 10. Israel Mwenda amerejea Singida BS 11. Shadrack Boka anaondoka mrithi wake nitakutajia Kone 12. Lassine kouma 13. Emmanuel Mwanengo Mkopo ameenda Singida 14. Bakari Mwamnyeto mchezaji huru mkataba imeisha amepunguziwa mshahara na anasubiriw asaini 15. Shekhan Khamis Mkopo Singida BS Wachezaji wa Kigeni waliosalama Yanga Sc 1.๐ฒ๐ฑ Djigui Diarra 2.๐จ๐ฎ Yao Kouassi 3.๐ฐ๐ช Duke Abuya 4.๐จ๐ฉ Maxi Nzengeli 5. ๐ฆ๐ด Laurindo Depu 6.๐บ๐ฌ Allan Okello 7.๐จ๐ฎ Pacome Zouzoua Kwa undani Zaidi tumekuwekea video nzima hapa MABENA TV Subscribe upate mengi Zaidi