Magoli | Dodoma Jiji 1-2 Mtibwa Sugar | NBC Premier league 17/04/2022
Magoli | Dodoma Jiji 1-2 Mtibwa Sugar | NBC Premier league 17/04/2022

Mtibwa Sugar wamepata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Dodoma Jiji katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliochezwa leo kwenye dimba la Jamhuri, Dodoma. Magoli ya Mtibwa yametoka kwa Issa Rashid na Mayanja Mululi wakati goli pekee la wenyeji Dodoma likitoka kwa Khamis Mcha.

🔴  #LIVE :TANZANIA 1 - 1 SUDAN | MSUVA afunguka  | SAMMATA atajwa Sudan
🔴 #LIVE :TANZANIA 1 - 1 SUDAN | MSUVA afunguka | SAMMATA atajwa Sudan

Timu ya Taifa 'Taifa Stars' 🇹🇿 itashuka dimbani leo kucheza mechi ya pili ya kirafiki dhidi ya Sudan 🇸🇩 saa 1:00 usiku katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, ikiwa ni mfululizo wa mechi zilizopo kwenye ratiba ya FIFA kwa timu za kimataifa, Mechi ya kwanza Stars ilishinda mabao 3-1 dhidi ya Jamhuri ya kati.

Highlights | Afrika ya Kati 0-0 Sudan | Mechi ya Kirafiki 26/03/2022
Highlights | Afrika ya Kati 0-0 Sudan | Mechi ya Kirafiki 26/03/2022

CENTRAL AFRICAN REPUBLIC vs SUDAN: Ni mechi ya kirafiki chini ya kalenda ya FIFA kati ya Jamhuri ya Afrika ya Kati (Central African Republic) dhid ya Sudan, iliyopigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam na kumalizika bila bao.

Tanzania 3-1 Afrika ya Kati | Highlights | Mechi ya Kirafiki 23/03/2022
Tanzania 3-1 Afrika ya Kati | Highlights | Mechi ya Kirafiki 23/03/2022

Timu ya taifa ya Tanzania #TaifaStars imeitandika Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) mabao 3-1 katika mchezo wa kirafiki wa kalenda ya FIFA uliochezwa leo kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Magoli ya Tanzania yamefungwa na Novatus Dismas dakika ya 10, Mbwana Samatta dakika ya 63 na George Mpole dakika ya 90 huku CAR wakipata bao lao kwa mkwaju wa penati dakika ya 66.

Magoli | Tanzania 3-1 Afrika ya Kati | Mechi ya Kirafiki 23/03/2022

Dodoma Jiji FC 2-0 Mbeya Kwanza | Highlights | NBC Premier League 14/03/2022
Dodoma Jiji FC 2-0 Mbeya Kwanza | Highlights | NBC Premier League 14/03/2022

Dodoma Jiji imepata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mbeya Kwanza katika mchezo wa #NBCPremierLeague uliochezwa kwenye Uwanja wa Jamhuri, Dodoma. Magoli ya mchezo huu yamefungwa na Joram Mgeveke na Anuary Jabir

#TBCLIVE: DODOMA JIJI  (2) vs (0) MBEYA KWANZA | UWANJA WA JAMHURI, DODOMA
#TBCLIVE: DODOMA JIJI (2) vs (0) MBEYA KWANZA | UWANJA WA JAMHURI, DODOMA

Fuatilia habari na matukio mbalimbali kwa saa 24 kupitia tovuti yetu, www.tbc.go.tz au App yetu ya “TBC Live” inayopatikana TBC Live : https://tbc.go.tz/wp-content/uploads/... App Store (iOS): https://apple.co/31Yxjta Tufuatilie pia kwenye kurasa zetu za mitandao ya kijamii; Twitter: https://twitter.com/TBConlineTZ Instagram: https://www.instagram.com/tbc_online/ Facebook: https://www.facebook.com/TBConlineTZ

#TBCLIVE: DODOMA JIJI FC (0) VS (0) GEITA GOLD FC, UWANJA WA JAMHURI, DODOMA
#TBCLIVE: DODOMA JIJI FC (0) VS (0) GEITA GOLD FC, UWANJA WA JAMHURI, DODOMA

Fuatilia habari na matukio mbalimbali kwa saa 24 kupitia tovuti yetu, www.tbc.go.tz au App yetu ya “TBC Live” inayopatikana Play Store (Android): https://bit.ly/3kYnnsr App Store (iOS): https://apple.co/31Yxjta Tufuatilie pia kwenye kurasa zetu za mitandao ya kijamii; Twitter: https://twitter.com/TBConlineTZ Instagram: https://www.instagram.com/tbc_online/ Facebook: https://www.facebook.com/TBConlineTZ

« Previous Next »

Popular Tags

#Counter Attack Goals Football  #Michael Jordan  #Manuel Neuer  #Thomas Muller  #LeBron James  #Derrick Rose  #Russell Westbrook  #Michael Jordan  #Shot Goals  #Philadelphia 76ers  

Popular Users

#shakira  #TheRock  #billbarnwell  #TheRealJRSmith  #BringerOfRain20  #justinbieber  #BaileyLAKings  #LarryFitzgerald  #UKCoachCalipari  #KingJames  #serenawilliams  #BellaTwins  #criscyborg