Timu ya Taifa 'Taifa Stars' 🇹🇿 itashuka dimbani leo kucheza mechi ya pili ya kirafiki dhidi ya Sudan 🇸🇩 saa 1:00 usiku katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, ikiwa ni mfululizo wa mechi zilizopo kwenye ratiba ya FIFA kwa timu za kimataifa, Mechi ya kwanza Stars ilishinda mabao 3-1 dhidi ya Jamhuri ya kati.