'MAHAKAMA' DAKIKA 7 Zamponza Mwamuzi SIMBA VS JKT TANZANIA
'MAHAKAMA' DAKIKA 7 Zamponza Mwamuzi SIMBA VS JKT TANZANIA

'MAHAKAMA' DAKIKA 7 Zamponza Mwamuzi SIMBA VS JKT TANZANIA MASHABIKI wa soka nchini wanaweza wakawa chanzo kikubwa sana cha kudidimia kwa mpira kama wataendelea na mfumo walionao sasa ambao unaendeshwa na "kulaumu tu." Hakika inashangaza sana kuwaona mashabiki wa soka kila siku wakiwa wanalaumu kwa kila jambo linalotokea katika mpira na kuufanya ndio kuwa ushabiki hasa wa mpira. Inawezekana ndani ya mpira wenyewe, mashabiki hawajui kwa nini wanashabikia na wengi wamekuwa hivyo ingawa inakuwa vigumu pia kwao kujua kama hawajitambui. Mfano, mmoja akiwa shabiki wa Yanga anaonekana ni adui anapokuwa na mashabiki wa Simba. Au anayeishabikia Simba anapaswa kutopendwa na mashabiki wa Yanga, jambo ambalo ni ajabu sana. Vipi watu wote wanaweza kuishabikia Yanga tu, au Simba tu! Lakini utakuwa vipi Yanga wasiwepo Simba? Utacheka na nani, utashindana na nani na nini maana ya ushabiki? Kuna haja ya kujifunza na kujua au kujiuliza kwa nini wewe ni shabiki? Kama unapenda kufurahi na kuheshimiwa, lazima uje kwamba na wengine wanastahili kupata kama hicho chako. Kilichonigusa hadi kuingi a mtaanai ya kuongea na mashabiki wa sokani jambo la dakika, ni baada ya Simba kushinda bao 1-0 dhidi ya JKT Tanzania. Bao la Simba lilifungwa na Hassan Dilunga mwishoni mwa dakika saba za nyongeza. #MAHAKAMAYAWANANCHI www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho



SIMBA SC 1-0 JKT TANZANIA; HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (TPL - 30/4/2019)
SIMBA SC 1-0 JKT TANZANIA; HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (TPL - 30/4/2019)

Bao pekee la Hassan Dilunga likifungwa dakika za majeruh, limetosha kuipa Simba pointi tatu muhimu dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) uliopigwa leo kwenye Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam. Dilunga amefunga goli hilo akimalizia pasi ya Emmanuel Okwi wakati zikiwa zimebaki sekunde chache mpira kumalizika katika mechi ngumu na ya ushindani wa aina yake. JKT walionekana wagumu zaidi hasa katika safu yao ya ulinzi iliyoweza kudhibiti mashambulizi makali ya Simba hadi ilipofika dakika ya 90 kabla ya dakika saba kuongezwa lakini Dilunga akafanikiwa kufunga bao hilo kwenye dakika ya saba ya muda nyongeza. Ushindi huo umeifanya Simba kufikisha pointi 72 na kuendeleza ‘gap’ la pointi tano kati yake ya vinara Yanga SC wenye pointi 77 wakati Azam FC wakiwa nafasi ya tatu na pointi 66. Kwa upande wao JKT Tanzania wamebaki na pointi zao 39 katika nafasi ya 13.



Simba 1-0 JKT Tanzania; Goli la Hassan Dilunga dakika majeruhi (TPL - 30/4/2019)
Simba 1-0 JKT Tanzania; Goli la Hassan Dilunga dakika majeruhi (TPL - 30/4/2019)

Bao pekee la Hassan Dilunga likifungwa dakika za majeruh, limetosha kuipa Simba pointi tatu muhimu dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) uliopigwa leo kwenye Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam. Dilunga amefunga goli hilo akimalizia pasi ya Emmanuel Okwi wakati zikiwa zimebaki sekunde chache mpira kumalizika katika mechi ngumu na ya ushindani wa aina yake. JKT walionekana wagumu zaidi hasa katika safu yao ya ulinzi iliyoweza kudhibiti mashambulizi makali ya Simba hadi ilipofika dakika ya 90 kabla ya dakika saba kuongezwa lakini Dilunga akafanikiwa kufunga bao hilo kwenye dakika ya saba ya muda nyongeza. Ushindi huo umeifanya Simba kufikisha pointi 72 na kuendeleza ‘gap’ la pointi tano kati yake ya vinara Yanga SC wenye pointi 77 wakati Azam FC wakiwa nafasi ya tatu na pointi 66. Kwa upande wao JKT Tanzania wamebaki na pointi zao 39 katika nafasi ya 13.



SIMBA VS AS VITA Mashabiki Wacharuka Wajipanga DO OR DIE
SIMBA VS AS VITA Mashabiki Wacharuka Wajipanga DO OR DIE

SIMBA VS AS VITA Mashabiki Wacharuka Wajipanga DO OR DIE LICHA ya ushabiki ambao tunao ni jukumu letu kuipa sapoti timu ya Simba ambayo inawakilisha nchi kwenye michuano mikubwa ambayo ni Ligi ya Mabingwa Afrika, si suala la kubeza. Kushindwa kupata matokeo haina maana kwamba hakuna uwezo bali ni hesabu tu ambazo zinatakiwa zifanywe kwa sasa ili kuvunja rekodi ambazo zimewekwa hasa kwa timu ya Simba ikiwa ni kwa manufaa ya Taifa. Kama walifanikiwa kuvunja rekodi ya kufuzu hatua ya makundi ambayo iliwekwa mwaka 2013 kwa nini hii isivunjwe tena Uwanja wa nyumbani? Itakuwa ajabu kama mashabiki watakata tamaa na wachezaji nao wakikata tamaa. https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho



UCHAMBUZI: Matokeo SIMBA Vs AL AHLY | Simba Walifeli Wapi?
UCHAMBUZI: Matokeo SIMBA Vs AL AHLY | Simba Walifeli Wapi?

UCHAMBUZI: Matokeo SIMBA Vs AL AHLY | Simba Walifeli Wapi? Klabu ya soka ya Simba imekubali kipigo cha goli tano kwa sifuri kutoka kwa Al Ahly ya Nchini Misri katika michuano ya kombe la mabingwa barani Afrika CAF. Kipigo hiko kinaifanya Simba kuwa na jumla ya magoli ya kufungwa 10 kwa 3, na ikumbukwe simba katika kundi D imeshinda mchezo mmoja tu dhidi ya JS Soura. Kufuatia matokeo hayo Global TV imemtafuta Mchambuzi wa masuala ya soka, Saleh Ally Jembe, ambaye maechambua mchezo huo ambao kwa kiasi kikubwa Simba walionekana kuzidiwa hasa katika dakika 45 za kipindi cha kwanza. #SIMBAVsALAHLY ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK https://www.youtube.com/watch?v=L4UGw. Jiunge na Familia ya Global TV Upande Mtandao wa Mafanikio Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club https://goo.gl/mkvuoB



MFK Skalica -  FC Spartak Trnava, prípravný zápas
MFK Skalica - FC Spartak Trnava, prípravný zápas

SPARTAKOVCI ŤAHALI V SKALICI ZA KRATŠÍ KONIEC 16.1.2019 o 14.00 hod. MFK SKALICA 1:0 (1:0) FC SPARTAK TRNAVA Komentár k zápasu : (z oficiálnej stránky FC Spartak Trnava) Spartak: 1.polčas: Urminský - Turňa, Tumma, Kulhánek, Čonka - Dudl, Pekár, Horvát - Mihálek, Yilmaz, Tavares 2.polčas: Takáč - Turňa, Kulhánek, Mesík, Lupták - Skhirtladze, Dudl, Dangubič - Mihálek (63. Vantruba), Jarovič, Solomun Góly: 26. Haša (11 m) Polčas: 1:0 O prehre Spartaka v druhom prípravnom zápase rozhodol v prvom dejstve Haša, ktorý premenil pokutový kop. Tréner Ščasný doprial väčšine svojich zverencov porciu 45 minút. Opäť nevynechal v jednej či druhej zostave dorastencov Spartaka, ktorí bojujú o šancu v hlavnom mužstve. Z oboch strán sa v úvodných minútach hral opatrný futbal. O prvý vzruch sa krátko po dvadsiatej minúte postaral hosťujúci Mihálek, ktorý spoza pokutového územia pálil nad bránu. Domáci odpovedali expresne rýchlo. V 25. minúte prenikol Šebesta do šestnástky, Kulhánek ho sfauloval a arbiter stretnutia ukázal na biely bod. Loptu naň si postavil Haša a poslal Urminského do opačnej strany - 1:0. Ako jediný zo strany andelov ohrozil Junasa v bráne iba Yilmaz, no zblízka domáceho strážcu svätyne neprekonal. O čosi nebezpečnejšie ale vyzerala na druhej strane individuálne akcia krídelníka Frimmela, sprava si naviedol loptu k šestnástke a obstrelom míňal pravú žrď. Po zmene strán zostali na ihrisku iba Turňa, Kulhánek, Dudl a Mihálek. Príležitosť dostal tiež dvadsaťročný Solomun. Operoval na ľavom krídle. Jeho ďalšie pôsobenie v červeno-čírnom drese je otázne. Spartakovci sa tlačili do zakončenia, chceli vyrovnať, no chýbala im finálna fáza i lepší dôraz s loptou na kopačke. Futbalisti Skalice umne dostupovali, napádali a získavali loptu do svojej moci. Po hodine hry zaujal hlavou Jarovič, keď zakončoval Dudlov roh vedľa pravej žrde. Takáča takmer prekonal Haša, Luptákovu hlavičku pálil z prvej zhruba z dvadsiatich metrov do brvna. Domáci brankár v permanencii nebol, keďže sa zverenci Michala Ščasného do zakončenia nedostávali. V závere si strelil Mesík takmer vlastný gól, no v poslednej chvíli odvrátil druhý gól pozorný Turňa. Skúsený obranca vykopával loptu z bránkovej čiary. Stav tak zostal nezmenený až do konca súboja. Najbližšie vycestuje Spartak cez víkend na pôdu Gyirmótu. Duel sa hrá na jeho pôde od 14.00 hod. OHLASY PO ZÁPASE Michal Ščasný (tréner FC Spartak Trnava): "V prvom rade chcem zopakovať, že neriešim výsledok z prípravy. Viac ma zaujíma spôsob hry, ktorým sme sa prezentovali. Chalani sú unavení, najmä včera mali náročné behy. Trochu ma mrzí druhý polčas, niektorí hráči neplnili to, čo mali. Tým pádom nebola na našej organizácia hry, akú chceme. Potešili ma mladí chalani, ktorí nastúpili na stopéroch či už Mesík alebo Tumma. Pozitívne je i to, že sa nikto nezranil. V sobotu sa stretneme s Gyirmotom a ďalší týždeň pokračujeme ako tento a následne nás čaká sústredenie v Turecku."



STAND UNITED 1-1 KAGERA SUGAR; HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (TPL - 14/12/2018)
STAND UNITED 1-1 KAGERA SUGAR; HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (TPL - 14/12/2018)

Stand United imegawana pointi na Kagare Sugar kwa kufungana bao 1-1 katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa leo kwenye Uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga. Wenyeji Stand United ndiyo waliotangulia kupata bao dakika ya 18 kupitia kwa Datus Peter baada ya kuwazidi maarifa mabeki wa Kagera Sugar. Kagera Sugar ambao walionekana kucheza vizuri zaidi hasa kipindi cha kwanza, walitulia na kufanikiwa kusawazisha goli hilo dakika ya 35 kupitia kwa mshambuliaji wake Jerson Tegete, akimalizia pasi ya Ramadhan Kapera.



MAGOLI: STAND UNITED 1-1 KAGERA SUGAR (TPL - 14/12/2018)
MAGOLI: STAND UNITED 1-1 KAGERA SUGAR (TPL - 14/12/2018)

Stand United imegawana pointi na Kagare Sugar kwa kufungana bao 1-1 katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa leo kwenye Uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga. Wenyeji Stand United ndiyo waliotangulia kupata bao dakika ya 18 kupitia kwa Datus Peter baada ya kuwazidi maarifa mabeki wa Kagera Sugar. Kagera Sugar ambao walionekana kucheza vizuri zaidi hasa kipindi cha kwanza, walitulia na kufanikiwa kusawazisha goli hilo dakika ya 35 kupitia kwa mshambuliaji wake Jerson Tegete, akimalizia pasi ya Raadhan Kapera.




« Previous Next »


Popular Tags

#Goalkeeper Saves  #Zlatan Ibrahimovi  #Michael Jordan  #Gareth Bale  #Anthony Davis  #Sergio Aguero  #Paul Pogba  #Goal Celebrations  #Best Goals  #Goalkeeper Saves  

Popular Users

#AntDavis23  #JLo  #realDonaldTrump  #PMOIndia  #ddlovato  #Cristiano  #LilTunechi  #ArianFoster  #UKCoachCalipari  #THNRyanKennedy  #steveaustinBSR  #cesc4official  #hunterpence  #iamsrk  #MieshaTate