Timu ya taifa ya Zanzibarβ¦ #ZanzibarHeroes imeibuka na ubingwa wa Kombe la Mapinduzi 2025 kwa kuichapa Burkina Faso mabao 2-1 katika mchezo wa fainali uliopigwa leo kwenye Dimba Gombani, Pemba. Zanzibar walitangulia kupata bao dakika ya 41 kwa kisigino cha Ibrahim Hamad Hilika, kisha Burkina Faso wakachomo dakika ya 69 kupitia kwa Aboubacar Traoreβ¦. Lakini dakika za majeruhi, Hassan Ali Cheda akafunga la pili na la ushindi kwa Zanzibar.
πͺππππππππ Β©2024 πΎπππππ π΄ππ ππ. π¨ππ ππππππ ππππππππ . #wasafi #wasafitv #wasafifm
#simba #yangafc #football derby #simbafans #tff #caf #yanga #michelo #mbwaduke #gsm #nbcsports #nbcsports #sportspesa #feitoto #tpmazembe #robertinho #rajacasablanca #mbet #phiri #ubuntu #mwananchi#tpmazembe #timuyawananchi #tpmazembe #rajacasablanca #tanzania #utalii #simba #simbafans #tff #caf #yanga #michelo #mbwaduke #gsm #nbcsports #nbcsports #sportspesa #feitoto #tpmazembe #robertinho #rajacasablanca #mbet #phiri #baleke #bocco #ntibazonkiza #tanzania #live #livestream #trendingshorts #manara #teamindia #derby#azam
SUBSCRIBE NOW: π Site: https://simbasc.co.tz/ π± App Store - https://apps.apple.com/tz/app/simba-sc/id1564389213 π± Play Store - https://play.google.com/store/apps/details?id=com.simbasc&hl=en π΅ Facebook: https://www.facebook.com/simbatanzania/ πΈ Instagram: https://www.instagram.com/simbasctanzania π Twitter: https://twitter.com/SimbaSCTanzania πΆ Tiktok: https://www.tiktok.com/@simbascofficial About the Official Simba SC YouTube Channel: Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference π΅π΄βͺ #NguvuMoja #Wenyenchi