Kai Cenat Couldn鈥檛 Believe Duke Dennis Fell For This! 馃拃馃槶 Subscribe For More! Kai Cenat Duke Dennis Shorts #kaicenat #dukedennis #shorts
#Yangasc #Tetesizausajili #UsajilimpyaYangasc Fagio la CHUMA limepita Bila huruma jangwani Wachezaji wanaotemwa Yanga 1. Prince Dube amejiunga na hard rock ya Zimbabwe kwao 2. Mohamed Damaro 3. Frank Assink 4. Bubah Jammeh 5. Mohamed Doumbia 6. Balla Conte 7. Abubakari Salum sure boy 8. Farid Mussa 9. Celestine Ecua 10. Israel Mwenda amerejea Singida BS 11. Shadrack Boka anaondoka mrithi wake nitakutajia Kone 12. Lassine kouma Wachezaji wanaosajiliwa Yanga 1. Yves Koutiama mshambuliaji wa Burkina Faso Na police Kenya magoli 11 mechi 17 ameingia dirisha Dogo 2. Juma Abushir AKA Messi wa Chuga Miaka 18 attacking midfield kutoka Fountain Gate alihitajika krc Genk ,yanga wametoa Milion 100 kuvunja mkataba na atalipwa mshahara wa Milion 5 Kila mwezi kutoka kulipwa Laki 6 3. Nasri Kombo beki kutoka TRA United deal done 4. Azizi Ki wanasubiri avunje mkataba na Al Ittihad 5.Samba Kone mrithi wa Shadrack Boka LB & CB assist 6 Miaka 23 ivory Coast Yanga wanamtaka mlinzi wa kushoto wa Mouna FC raia wa Ivory Coast 馃嚚馃嚠,Samba Kon茅 (23) 鉁匶anga wanamuona Kone kama mbadala sahihi wa Boka. 鉂孠one anamaliza mkataba wake na Mouna FC,june 30 mwaka huu. Mchezaji huyo amewahi kupita Paradou FC ya Algeria 馃嚛馃嚳. Msimu huu Kone katoa assist (4) huku akitajwa kama beki bora wa kushoto kwenye ligi ya Ivory Coast. 6. Klabu ya Yanga ipo kwenye hatua za mwisho kukamilisha usajili wa nyota wa klabu ya Anzoategui FC (Academia Anzoategui) inayoshiriki Ligi daraja la pili nchini Venezuela (FUTVE 2) Guillermo Leon Marin Pino maarufu kwa jina la Memo mwenye umri wa miaka (24). Pino anaweza kucheza nafasi mbalimbali kama vile Winga wa kulia (RW), Winga wa kushoto (LW) na kiungo Mshambuliaji. Kabla ya kujiunga na Anzoategui mnamo mwaka 2023 alikuwa anaitumikia klabu ya Deportivo La Guaira. Akiwa na Anzoategui msimu huu Pino amefanikiwa kuhusika kwenye mabao (5) baada ya kufunga mabao (3) na kutoa assisti (2) akicheza dakika (876) kwenye michezo (13). 7. Mosi Nduwumwe huyu ndiye top score ligi kuu Mechi 15 magoli 17 na ndiye mrithi wa Prince Dube,ni raia WA Burundi Miaka 25 8. Idd Nado kutoka Azam FC Kocha wanaotajwa Kwa sasa Chavalier wa aasec mimosas ya ivory Coast na fadlu davids wa Raja 馃煝馃煛 HII HAPA LIST YA WACHEZAJI WA KIGENI WA YANGA SC 馃敯 1.馃嚥馃嚤 Djigui Diarra 2.馃嚚馃嚠 Yao Kouassi 3.馃嚚馃嚛 Chadrack Boka 4.馃嚙馃嚜 Frank Assink 5.馃嚞馃嚦 Balla Cont茅 6.馃嚢馃嚜 Duke Abuya 7.馃嚚馃嚛 Maxi Nzengeli 8.馃嚥馃嚤 Mohamed Doumbia 9.馃嚘馃嚧 Laurindo Depu 10.馃嚭馃嚞 Allan Okello 11.馃嚚馃嚠 Pacome Zouzoua 12.馃嚞馃嚥 Buba Jammeh 13.馃嚙馃嚜 Lassine Kouma 14.馃嚙馃嚜 C茅lestin Ecua
鈥婫ET AMP: 馃寪 Shop TONE 鉃★笍 https://tone.shop 鈿★笍AMP Streetwear 鉃★笍 https://amp.shop 鈿★笍鈿★笍 AMP 鈿★笍鈿★笍 https://www.snapchat.com/add/ampexclusive https://www.tiktok.com/@ampexclusive6 https://www.instagram.com/ampexclusive https://twitter.com/ampexclusive 鈿★笍Agent aka Agent 00 https://www.youtube.com/@Agent00everything https://www.instagram.com/callmeagentzero/ https://twitter.com/CallMeAgent00 鈿★笍Chris aka chrisnxtdoor https://www.youtube.com/@Chrisnxtdoor https://www.instagram.com/chrisnxtdoor_/ https://twitter.com/Chrisnxtdoor_ 鈿★笍Davis aka ImDavisss https://www.youtube.com/@ItsDavisss https://www.instagram.com/imdavisssyt/ https://twitter.com/imdavisss 鈿★笍Duke aka Duke Dennis https://www.youtube.com/@DukeDennisAMP https://www.instagram.com/dukedennis/ https://twitter.com/ImDukeDennis 鈿★笍Fanum aka JustFanum https://www.youtube.com/@FanumLive https://www.instagram.com/elfanum/ https://twitter.com/FanumTV 鈿★笍 Kai aka Kai Cenat https://www.youtube.com/@KaiCenatLive https://www.instagram.com/kaicenat/ https://twitter.com/KaiCenat
Kiungo Allan Okello amefunga magoli mawili katika ushindi wa 3-1, Yanga dhidi ya Namungo FC, mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa KMC Complex, Dar es Salaam. Aliyeitanguliza Yanga kwenye mchezo huu alikuwa ni Duke Abuya, kabla ya Hassan Kabunda kuchomoa kipindi cha kwanza... na Allan Okello akapiga mawili kipindi cha pili.
Kiungo Allan Okello amefunga magoli mawili katika ushindi wa 3-1, Yanga dhidi ya Namungo FC, mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa KMC Complex, Dar es Salaam. Aliyeitanguliza Yanga kwenye mchezo huu alikuwa ni Duke Abuya, kabla ya Hassan Kabunda kuchomoa kipindi cha kwanza... na Allan Okello akapiga mawili kipindi cha pili. Haya hapa magoli...
El alero norteamericano anot贸 21 puntos en menos de 17 minutos de juego en un aut茅ntico partidazo para liderar a su BAXI ...
Ahead of today's show, the guys react to the Atlanta Braves blowout loss to the Miami Marlins and comments from Falcons head ...