MAWASILIANO +255746460374 WhatsApp/Call #dpworld #bandari#katibampya#waraka#paulmakonda#makonda #kenya #kenyadigitalnews #ktnnews#denismpagaze#denismpagaze #kenya #kenyadigitalnews #ktnnews#israel#israel @Wasafi_Media @trapcity @BBC @BBCBangla #samiasuluhuhassan#kaziiendelee #JPM#CCM#ACT#CHADEMA #kenya #kenyadigitalnews #ktnnews #ntvnews #ruto #raila #odinga #kenya #kenyadigitalnews #ktnnews #ntvnews #ruto #raila #odinga #kenyapaliament #kenyanyoutuber #ktnnews #kenya#kenya #kenyadigitalnews #ktnnews #ntvnews #ruto #raila #odinga #kenya #kenyadigitalnews #ktnnews #ntvnews #ruto #raila #odinga #kenyapaliament #kenyanyoutuber #ktnnews #kenya
"Ahly wanajua kuwa wanakwenda kukutana na mpinzani mgumu kwa kiasi gani na Simba SC itakwenda kupigania nafasi ya kwenda Nusu Fainali na sio kuhofia hadhi yao. Tunatakiwa kujipanga kwenda kuthibitisha kwa nini tupo kwenye klabu kumi bora Afrika kwa kushindana na klabu namba moja na bila hofu kila kitu kinawezekana," -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24news ⚫️ Facebook: @dar24 ⚫️ Twitter: @Dar24News #simbasc #alahly #ahmedally
Habari zinaeleza kuwa Uongozi wa Simba SC umefanya uchunguzi na kuona kuna kikundi cha mastaa watatu ambapo kama wakikimaliza, basi makocha na timu nzima itafanya kazi kwa sauti na kwa nguvu moja kama ilivyo kauli mbiu yao. Mastaa hao ambao wanaipasua kichwa Simba SC ni Clatous Chama ambaye kwa sasa yupo nje ya kikosi baada ya kusimamishwa akidaiwa kukwaruzana na mmoja wa makocha wa timu hiyo. -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24news ⚫️ Facebook: @dar24 ⚫️ Twitter: @Dar24News #chama #miquissone #simbasc
“Kocha ameshatoa mapendekezo yake, lakini ni tofauti na wengi walivyokuwa wanafikiri kwani amesema apewe angalau wachezaji wawili wa kimataifa kwenye dirisha hili, lakini wawe ni wale ambao atawatumia kwenye Ligi ya Mabingwa Barani Afrika, yaani hataki asajiliwe mchezaji ambaye hatatumika kwa msimu huu. “Anasema tageti yake kubwa ni kufika kuanzia Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa na kuendelea, hivyo itakuwa haina maana kama atasajiliwa mchezaji ambaye tayari ametumika msimu huu,” kilisema chanzo hicho. Kwa mujibu wa kanuni za Shirikisho la Soka Barani Afrika ‘CAF’, mchezaji akiwa ameshatumika kwenye michuano ya CAF msimu huu akisajiliwa na klabu nyingine inayoshiriki michuano hiyo, basi hatakuwa na nafasi ya kutumika tena kwa msimu husika. -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24news ⚫️ Facebook: @dar24 ⚫️ Twitter: @Dar24News #usajilisimbasc #simbasc #ahmedally
Jambo la muhimu katika upangaji wa makundi ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika ni kwamba timu zilizopo katika Chungu kimoja hazitapangwa kundi moja, bali kila timu kutoka kila chungu itakutana na timu nyingine kutoka kila chungu kutengeneza makundi manne tofauti. Shirikisho la soka Barani Afrika ‘CAF’ linasubiri Oktoba 06 ili kukamilisha mpango wa kupanga makundi ya Michuano ya ngazi ya vilabu iliyo chini ya shirikisho hilo kwa msimu huu 2023/24. -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24news ⚫️ Facebook: @dar24 ⚫️ Twitter: @Dar24News #simbasc #yangasc #cafcl
Hivi sasa hatuwaangalii wapinzani wetu nini wanafanya, badala yake tunaelekeza nguvu zetu katika maandalizi ya kikosi chetu. Mabao mawili tuliyoyapata kule ugenini yatatusaidia hapa na wao yaliwaumiza lakini tunaporudi nyumbani hatutakiwi kuzubaa. -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24news ⚫️ Facebook: @dar24 ⚫️ Twitter: @Dar24News #simbasc #zambia #tanzania
Nataka kuona tunarekebisha makosa kwenye michezo ijayo ndio maana tunazungumza mara kwa mara kuwekana sawa -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24news ⚫️ Facebook: @dar24 ⚫️ Twitter: @Dar24News #manula #baleke #simbasc
-- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24news ⚫️ Facebook: @dar24 ⚫️ Twitter: @Dar24News #mosesphiri #miquissone #simbasc