Magoli yote | Mzigo wa mabao ya Simba ikiisulubu Mwadui (5-0) - VPL 31/10/2020
Magoli yote | Mzigo wa mabao ya Simba ikiisulubu Mwadui (5-0) - VPL 31/10/2020

Ikiwa na hasira ya kupoteza mechi mbili mfululizo, mnyama Simba ameifurusha Mwadui FC kwa jumla mabao 5-0 dimbani Uhuru kwenye mchezo wa VPL raundi tisa. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



LIVE - SIMBA 5-0 MWADUI, BIASHARA 0-1 YANGA (UCHAMBUZI) - VPL  31/10/2020
LIVE - SIMBA 5-0 MWADUI, BIASHARA 0-1 YANGA (UCHAMBUZI) - VPL 31/10/2020

Leo zimepigwa mechi nneza raundi ya tisa... na matokeo ni haya: FT: Biashara 0-1 Yanga. FT: Simba 5-0 Mwadui. FT: Namungo 1-0 Dodoma Jiji. FT: Prisons 0-1 Polisi. Fuatilia uchambuzi baada ya matokeo haya ukiwa na Ahmed Ally, Ally Mayay na Dominick Salamba. Fuatilia matangazo ya moja kwa moja ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2020 kupitia UTV. Ni ndani ya saa 90 za kuangazia zoezi zima la upigaji kura, uhesabuji wa kura na kutangazwa kwa matokeo. Ni UTV pekee utakapopata taarifa za kina na uchambuzi wa siasa za Tanzania hususani uchaguzi wa Rais, Wabunge, Wawakilishi na Madiwani. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Highlights | Polisi Tanzania ikiitandika Tanzania Prisons (0-1) - VPL 31/10/2020
Highlights | Polisi Tanzania ikiitandika Tanzania Prisons (0-1) - VPL 31/10/2020

Polisi Tanzania ikiwa ugenini dimbani Nelson Mandela Sumbawanga, imefanikiwa kuondoka na pointi tatu muhimu kwa kuifunga Tanzania Prisons 0-1. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Goli la Polisi Tanzania (0-1) ikiichapa Prisons - VPL 31/10/2020
Goli la Polisi Tanzania (0-1) ikiichapa Prisons - VPL 31/10/2020

Goli pekee la Polisi Tanzania likifungwa na Marcel Kaheza kwa mkwaju wa penati na kufanikiwa kuondoka na pointi tatu dhidi ya wenyeji wao Tanzania Prisons. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Magoli yote | Azam FC (1-1) ikitoka sare dhidi ya JKT Tanzania - VPL 30/10/2020
Magoli yote | Azam FC (1-1) ikitoka sare dhidi ya JKT Tanzania - VPL 30/10/2020

Tazama magoli yote mawili yaliyopatikana kwenye mchezo wa VPL raundi ya tisa kati ya wenyeji Azam FC dhidi ya JKT Tanzania ambao umemalizika kwa sare ya 1-1 Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



KIPYENGA CHA MWISHO 29/10/2020 - Matukio tata Simba vs Ruvu na KMC vs Yanga
KIPYENGA CHA MWISHO 29/10/2020 - Matukio tata Simba vs Ruvu na KMC vs Yanga

Mwamuzi mstaafu Osman Kazi achambua baadhi ya matukio tata na vurugu zilizojitokeza kwenye mchezo wa VPL kati ya Simba na Ruvu Shooting. Pia zimeangaliwa mechi nyingine za raundi ya nane ikiwemo Ihefu vs Namungo, Coastal Union vs Gwambina, Polisi vs Biashara pamoja na KMC vs Yanga Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Dodoma Jiji 0-1 Tanzania Prisons | Highlights - VPL  26/10/2020
Dodoma Jiji 0-1 Tanzania Prisons | Highlights - VPL 26/10/2020

Timu ya Dodoma Jiji FC ikiutumia Uwanja wa Samora mjini Iringa kama uwanja wake wa nyumbani imekumbana na kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa Wajelajela, Tanzania Prisons. Goli pekee limefungwa na Ramadhan Ibata dakika ya 88. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Mtibwa Sugar (1-0) Azam FC; Highlights - 26/10/2020
Mtibwa Sugar (1-0) Azam FC; Highlights - 26/10/2020

Baada ya safari ya michezo saba ya VPL bila kufungwa hatimaye Azam FC wamepoteza mchezo wa kwanza wa #LigiKuuTanzaniaBara kwa msimu wa 2020/2021 dhidi ya wakata miwa Mtibwa Sugar, goli la Jaffary Kibaya likiwazamisha Matajiri hao wa Chamazi. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz




« Previous Next »


Popular Tags

#Paul George  #Shot Goals  #Manuel Neuer  #James Harden  #Chicago Bulls  #Los Angeles Lakers  #Franck Ribery  #LeBron James  #Shaquille O'Neal  #Football Defensive Skills  

Popular Users

#KevinHart4real  #twitter  #WWE  #justinbieber  #Kaepernick7  #BeingSalmanKhan  #oldhossradbourn  #strombone1  #DanicaPatrick  #lindseyvonn  #DeAndre  #nytimes  #CMPunk  #BadgerMBB  #IAmJericho