#ChipukiziFC#MapinduziCup#Simbasc#Zanzibar SIMBA SC VS CHIPUKIZI FC - SECOND HALF
Tazama sasa Live🔴Simba SC vs Chipukizi FC| Mapinduzi Cup | Kikosi cha XI cha Kuwakabili Chipukizi FC Tazama HD Picha hapa chini: #SimbaSC #ChipukiziFC #MapinduziCup #NguvuMoja.
#ChipukiziFC#MapinduziCup#Simbasc#Zanzibar 🔴#LIVE SIMBA SC VS CHIPUKIZI FC
Tazama Mtibwa Sugar ilivyoanza Kombe la Mapinduzi mwaka 2021 kwa kuichabanga Chipukizi bao 1-0 Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imefanya kweli mkoani Mbeya baada ya kuichapa Mbeya City bao 1-0, mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) uliofanyika Uwanja wa Sokoine, Mbeya leo jumapili. Ushindi huo unaifanya Azam FC kufikisha jumla ya pointi 66 kwenye msimamo wa ligi ikiwa nafasi ya pili ikizidiwa pointi nane na kinara Yanga aliyekuwa nazo 74, Simba iliyocheza mechi 22 ni ya tatu ikijikusanyia 57. Beki wa Azam FC, Yakubu Mohammed, aliyeonekana kucheza vema kwenye eneo la beki ya kati sambamba na beki chipukizi kutoka Azam Academy, Lusajo Mwaikenda, ndiye aliyeipatia bao pekee timu hiyo dakika ya 45 akimalizia krosi iliyopigwa na kiungo, Mudathir Yahya, kufuatia mpira wa kona alioanzishiwa na Bruce Kangwa. #WeAreAzamFC #TimuBoraBidhaaBora #AfricanFrutiImenogaFresh #UhaiDrinkingWater #TradegentsTanzaniaLimited
Mnyama Simba SC Ijumaa Januari 4, 2019 alimtafuna Chipukizi kwa kumpiga kipigo cha mabao 4-1 katika mchezo wake wa kwanza wa Kombe la Mapinduzi uliopigwa kwenye Dimba la Amaan Zanzibar. Mabao ya Simba yalifungwa na Meddie Kagere aliyefunga mabao mawili dakika ya 32 na 59, Nicholas Gyan dakika ya 56 na John Bocco aliyefunga kwa penati dakika ya 83. Bao la kufutia machozi la Chipukizi lilifungwa na Omar Haji dakika ya 54. Tazama highlights