Kocha wa Simba SC, Fadlu Davids, amesema kikosi chake kiko tayari kwa mechi ya pili ya fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya RS Berkane ya Morocco huku akisisitiza kuwa wachezaji wake wameshajifunza kupitia maumivu ya dakika 20 za kwanza kule Morocco. Akizungumza na waandishi wa habari Zanzibar, Fadlu amesema: “Ndiyo, tulikuwa tumejiandaa kikamilifu kwa mechi ya kwanza. Tulikuwa tumepanga kila kitu kiufundi na kimkakati, lakini jambo kubwa zaidi lilikuwa kuwapa wachezaji uzoefu wa dakika zile 20 za mwanzo kwa sababu unaweza kuwa na mpango mzuri lakini hali halisi ya uwanja na mazingira ya fainali huwezi kuifundisha darasani. Lazima waishi nayo, wapitie, na wakue kupitia hilo.” Katika mechi wa kwanza iliyochezwa Morocco, Simba ilikubali kichapo cha mabao 2-0. Hata hivyo, Fadlu anaamini kuwa kikosi chake sasa kiko tayari kwa pambano la marudiano, licha ya mchezo huo kuhamishiwa Zanzibar badala ya uwanja wao wa nyumbani wa Benjamin Mkapa. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj
Facebook: https://www.facebook.com/EARadio/ Twitter: https://twitter.com/earadiofm Subscribes: https://www.youtube.com/channel/UClYL5SSefPhe-FCxFvXOreg
BETI NA PMBET UJISHINDIE TOYOTA HARRIER, NISSAN X-TRAIL NA IST KUPITIA LINK HII 👉 https://pmbet.co.tz/en/auth/signup?ref_id=pmtv USISAHAU KU-SUBSCRIBE YOUTUBE CHANNEL YETU KWA KUBONYEZA ALAMA YA KENGELE ILI UWE WA KWANZA KUPATA HABARI ZOTE AMBAZO TUTAKUWA TUKIKUSOGEZEA KARIBU. INSTAGRAM @pmtvtz TIKTOK @officialpmtv TOVUTI: www.pmtv.co.tz
Simba Vs Rs Berkane Simba Vs Berkane Simba Vs Berkane Live Simba Vs Berkane Leo Simba Vs Berkane Live Leo Simba Vs Berkane Leo Live Simba Vs Berkane Highlights Simba Vs Berkane Goals Simba Vs Berkane 0-0 Simba 0-0 Berkane Kikosi Cha Simba Simba Leo Kikosi Cha Simba Kinachoanza Leo #SimbaSc #AzamTv #CafCc #Simba #AhmedAlly #MoDewji #RsBerkane #Berkane