#Yangasc #Yangaleo #alikamwe #usajilimpyayanga #Enghersi Wachezaji wa Yanga Waliosajiliwa Leo 1. Justice Figuareido kutoka Chipa United South Africa raia wa Eswatin ,TAKWIMU ZA JUSTICE FIGUAREIDO | MSIMU WA 2025/26 🇸🇿 Nyota wa kimataifa wa Eswatini, Justice Figuareido, ambaye hucheza kama winga na pia mshambuliaji wa kati 🇿🇦 BETWAY PREMIERSHIP (Chippa United) ⚽ Mechi: 26 🥅 Magoli: 2 🎯 Asisti: 5 ⏱️ Dakika alizocheza: 1,858 🌍 FIFA World Cup Qualifiers (Eswatini) 🇸🇿 Mechi: 9 ⚽ Magoli: 3 2. Thulani Gumede winga huyu kutoka Richardbay ya Afrika kus Rasmi niko hapa kuthibitisha Young Africans SC 🇹🇿 ipo hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa Winga Thulani Gumede mwenye umri wa miaka (25) raia wa Afrika Kusini 🇿🇦 kutoka Richards Bay FC kwaajili ya kuitumikia klabu hiyo kwa msimu ujao 2026-27. Thulani Gumede ni pendekezo la kocha mpya wa Klabu hiyo Manqoba Mngqithi, Hii ni mara baada ya kumkosa Winga Keletso Makgalwa aliyetimkia Simba SC kwa ushawishi mkubwa zaidi wa kocha Steve Barker, Gumede ana uwezo wa Kucheza Winga ya Kulia na Kushoto kwa ustadi mkubwa, Akiwa na Richards Bay amefunga Mabao (5) na Assists (5) katika Mechi (64). 3.Nasri Kombo Kutoka TRA United 4.Abdulnasir Asa Gamal Mlinzi/Winga Mashujaa 5.Azizi Ki 6. Mohamed Mussa mlinzi wa kati kutoka Mashujaa 7.Samba Kone Kutoka Muna FC ya Ivory Coast Mlinzi wa Kushoto 8.Juma Abushir Aka Messi wa Chuga kutoka Fountain Gate . Emmanuel Flomo 🔹Klabu ya wananchi Yanga imefikia makubaliano binafsi (personal terms) na winga hatari wa kulia wa Liberia na klabu ya Al Hilal Omdurman ya Sudan,Emmanuel Flomo (18). -Yanga wanajaribu utaratibu wa kuvunja mkataba wa mchezaji huyo katika klabu yake ya Al Hilal ya Sudan. -Flomo amefunga mabao 12 Msimu uliopita na kuibuka mchezaji chipukizi katika ligi ya Rwanda. Wachezaji wanaotemwa Yanga 1. Prince Dube amejiunga na hard rock ya Zimbabwe kwao 2. Mohamed Damaro 3. Frank Assink 4. Bubah Jammeh 5. Mohamed Doumbia 6. Balla Conte 7. Abubakari Salum sure boy free agent 8. Farid Mussa free agent 9. Celestine Ecua 10. Israel Mwenda amerejea Singida BS 11. Shadrack Boka anaondoka mrithi wake nitakutajia Kone 12. Lassine kouma 13. Emmanuel Mwanengo Mkopo ameenda Singida 14. Bakari Mwamnyeto mchezaji huru mkataba imeisha amepunguziwa mshahara na anasubiriw asaini 15. Shekhan Khamis Mkopo Singida BS Wachezaji wa Kigeni waliosalama Yanga Sc 1.🇲🇱 Djigui Diarra 2.🇨🇮 Yao Kouassi 3.🇰🇪 Duke Abuya 4.🇨🇩 Maxi Nzengeli 5. 🇦🇴 Laurindo Depu 6.🇺🇬 Allan Okello 7.🇨🇮 Pacome Zouzoua Kwa undani Zaidi tumekuwekea video nzima hapa MABENA TV Subscribe upate mengi Zaidi
#NBCPL: Tazama matukio yote muhimu yaliyojiri kwenye mchezo wa NBC Premier League kati ya Yanga SC ikiwa ugenini dhidi ya Mashujaa FC. Mechi imepigwa katika dimba la Lake Tanganyika Kigoma. Magoli yamefungwa na Mudathir Yahya na Bakari Mwamnyeto FT: Mashujaa 0-2 Yanga #NBCPL #NBCPremierLeague #LigiKuuTanzania #ImenogaZaidi #MashujaaVsYanga #Mashujaa #YangaSC #MSHYNG
Radiodiffusion Télévision Sénégalaise | Le public, notre raison d'être 📺TNT n°1 | Canal+ n°210 | www.rts.sn | Facebook live | YouTube
VIDEO: WATANZANIA WALIVYOTUA MOROCCO KUSHUHUDIA MECHI ya SERENGETI U-17 vs SENEGAL... @COSMA - DAR CC; BAKARI MAHUNDU ============================================================= ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ MAKALA ZA WATU MAARUFU ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
Radiodiffusion Télévision Sénégalaise | Le public, notre raison d'être 📺TNT n°1 | Canal+ n°210 | www.rts.sn | Facebook live | YouTube
Radiodiffusion Télévision Sénégalaise | Le public, notre raison d'être @PapeThiawTV 📺TNT n°1 | Canal+ n°210 | www.rts.sn | Facebook live | YouTube
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara, Yanga SC wamepoteza mchezo kwa mara ya kwanza msimu huu, wakichapwa 3-2 na Dodoma Jiji, mchezo, mchezo ukipigwa Airtel Stadium, Singida. Magoli ya Yanga yamefungwa na Allan Okello dakika ya 2 na 41, huku magoli ya Dodoma Jiji yakitoka kwa Bakari Mwamnyeto aliyejifunga dakika ya 29, Mwana Kibuta David dakika ya 90 na Wazir Junior Shemtembo dakika za nyongeza. Haya hapa magoli yote..