ABUSHIRI KUCHEZA BRAZIL HIVI KARIBUNI
ABUSHIRI KUCHEZA BRAZIL HIVI KARIBUNI

YANGA PRESS | Rais wa Yanga SC, Eng. Hersi Said, amefichua kuwa klabu hiyo imeanza kupokea ofa mbalimbali kutoka kwa timu zinazohitaji huduma ya mshambuliaji Juma Abushiri. Hersi amesema Yanga inaendelea kuchukua hatua za kimkakati katika kuboresha uendeshaji wa klabu, ikiwemo kutoa nafasi kwa wachezaji wake kujiunga na timu nyingine kupitia mfumo wa usajili na uhamisho. Ameongeza kuwa Abushiri ni miongoni mwa wachezaji wanaoweza kuondoka, huku mazungumzo na hatua mbalimbali zikiendelea kuhusu uwezekano wa kujiunga na Palmeiras ya nchini Brazil. #afrosate #yangasc



TANZANIA NI NYUMBANI, WANANIPENDA! FADLU DAVIDS.
TANZANIA NI NYUMBANI, WANANIPENDA! FADLU DAVIDS.

"Ninajisikia furaha. Nahisi kwamba Tanzania ni nyumbani kwangu"❤️🇹🇿 Maneno ya Kocha Fadlu Davids baada ya kuwasili Tanzania! #afrosate #yangasc





Popular Tags

#David Silva  #Best Football Defending Skills  #James Harden  #Russell Westbrook  #Shot Goals  #Stephen Curry  #Goalkeeper Saves  #Zlatan Ibrahimovi  #Best Ball Controls  #Gareth Bale  

Popular Users

#YouTube  #nyt4thdownbot  #billbarnwell  #DeionSanders  #KDTrey5  #MikePereira  #RyanBabel  #ddlovato  #narendramodi  #baseballpro  #SimplyAJ10  #MileyCyrus  #AdamSchefter  #jtimberlake