Hakikisha Umesubscribe Chaneli yetu ya #AyomaMedia kwa habari za uhakika Na pia tufuatilie Katika Mitandao ya Kijamii kama Instagram & Facebook na Twitter kama @Ayoma_tv
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya Azam FC,Thabit Zakaria 'Zakazakazi' ameeleza Maandalizi yao ya mchezo wa leo ...
Baaada ya kutamatika mchezo wa Ligi kuu ya NBC kati Azam Fc na Mtibwa Sugar na Azam Fc kuibuka na Ushindi wa Goli moja kwa bila lilifungwa na Idris Mbombo Mpenja Tv tukapata nafasi ya kuzungumza na Msemaji wa Klabu ya Mtibwa Sugar Thobias Kifaru na Msemaji wa Azam Fc Zakazakazi Fuatilia mahojiano yote hapa kujua alichoongea Thobias Kifaru na Zakazakazi #AzamFc #MtibwaSugar #AzamFcVsMtibwaSugar #LigikuuyaNBC
Facebook: https://www.facebook.com/EARadio/ Twitter: https://twitter.com/earadiofm Subscribes: https://www.youtube.com/channel/UClYL5SSefPhe-FCxFvXOreg