Ally Kamwe azungumzia tetesi za Aziz Ki kurejea Yanga

KAMWE AKWEPA KUMZUNGUMZIA AZIZ KI: Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe anasema hakuna timu Afrika ambayo haipendi kuwa na mchezaji mwenye daraja la Stephane Aziz Ki, japo amekwepa kuzungumzia kwa undani tetesi zinazomhusisha kurejea mitaa ya Jangwani. Kamwe pia amesema kuna mchezaji walimpandisha thamani makusudi ili watu walipe hela nyingi. Kamwe amesema hayo leo kwenye mahojiano maalumu kupitia kipndi cha U-LIVE cha @ufmradiotz #YangaSC #Kamwe #UFM #ULIVE

ALLY KAMWE AFUNGUKA SAKATA LA WACHEZAJI WALIOMALIZA MKATABA, PACOME ATAJWA

Mahojiano maalum ndani ya #ULIVE na Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC Ally Kamwe.

ULIVE: YANGA DAY MOJA KWA MOJA KUTOKA BENJAMIN  MKAPA/ YANGA SC (0) VS (1)  RED ARROWS FC

Ungana nasi katika kuyang'amua yaliyojiri kwenye ulimwengu wa michezo. U LIVE ni kila siku kuanzia saa 10:00 jioni hadi saa 1:00 usiku. Tunakuweka Karibu na Michezo.

#ULIVE: ZAMBIA (0) VS (1) TANZANIA/ MCHEZO WA KUFUZU KOMBE LA DUNIA/ UFM RADIO JUNI 11, 2024

#ULIVE: AZAM FC (0) VS (0) YANGA SC/ FAINALI CRDB BANK FEDERATION CUP/ UFM RADIO JUNI 2, 2024

#ULIVE: SHEREHE YANGA SC WAKIKABIDHIWA KOMBE LA LIGI KUU 2023/24 DIMBA LA MKAPA

ULIVE: TP MAZEMBE (0) VS (0) AL AHLY/ NUSU FAINALI CAFCL/ UFM RADIO APRILI 20, 2024

Ungana nasi katika kuyang'amua yaliyojiri kwenye ulimwengu wa michezo. U LIVE ni kila siku kuanzia saa 10:00 jioni hadi saa ...

ULIVE: NBCPL: YANGA NA  SIMBA  DIMBANI LEO  / TP MAZEMBE KUIKABILI AL AHLY CAFCL

Next »

Popular Tags

#Lionel Messi  #Mesut Ozil  #Zlatan Ibrahimovi  #Paul George  #Best Football Defending Skills  #Ronaldinho  #Paul George  #Stephen Curry  #Stephen Curry  #Best Champions League  

Popular Users

#BrunoMars  #rioferdy5  #darrenrovell  #AdamSchefter  #billsimmons  #BadgerMBB  #DeAndre  #kevinlove  #UKCoachCalipari  #BellaTwins  #JoelEmbiid  #criscyborg  #LarryFitzgerald  #CNN  #rolopez42