USHINDI WA MZIZE ULIVYOTANGAZWA KUNYAKUWA TUZO CAF
USHINDI WA MZIZE ULIVYOTANGAZWA KUNYAKUWA TUZO CAF

CAF AWARDS 2025 | Hivi ndivyo nyota magwiji wa soka la Afrika, Asamoah Gyan na Manucho walivyomtangaza Clement Mzize (Yanga SC) kuwa mshindi wa tuzo ya goli bora la mwaka. Pia sikiliza alichokisema Clement mwenyewe kuhusu tuzo hiyo akitoa shukrani zake kwa CAF, wachezaji wenzake, benchi la ufundi, na wote waliompigia kura. Mzize anasema “…hii ni ya kwetu wote” Goli lenyewe ni lile alilowafunga TP Mazembe kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, msimu uliopita…Yanga ikishinda 3-1 kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Januari 4, 2025. Ni usiku wa tuzo kwa waafrika waliofanya vizuri kwenye ulimwengu wa soka mwaka 2025. Ilikuwa LIVE #AzamSports1HD #CAFAwards2025 #CAFAwards #TuzoZaCAF





Popular Tags

#LeBron James  #Best Goals Ever  #Paul Pogba  #Lionel Messi  #Best Football Defending Skills  #Golden State Warriors  #Shot Goals  #Cleveland Cavaliers  #Tristan Thompson  #Philadelphia 76ers  

Popular Users

#Kaepernick7  #hunterpence  #BBCBreaking  #baseballpro  #wizkhalifa  #jtimberlake  #criscyborg  #ArianFoster  #ArianaGrande  #BrunoMars  #JLo  #CP3  #obj  #MikePereira