Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC, Crescentus Magori na Meneja wa Habari wa timu hiyo Ahmed Ally wamezungumzia mchakato wa usajili ndani ya klabu hiyo na kutoa tafsiri ya ubwaya ubwela.
Tazama jopo uchambuzi wa jopo la wachambuzi wa #SportsAM wakizigusa mechi za kimataifa za Yanga SC dhidi ya Al Hilal, ...