TAMBO za HAJI MANARA SIMBA SC vs JS SAOURA LEO. Tazama Msemaji was Klabu ya soka ya Simba Sc Haji Manara akitoa hamasa kwa Mashabiki was Simba Sc kuelekea mechi ya Klabu Bingwa Afrika dhidi ya JS SAOURA Leo jijini Dar es salaam wanja wa Taifa #SimbaScVsJsSaoura #MagoliYoteSimbavsJsSaoura #MagoliYoteSimbanaSaoura #SimbanaSaoura #HajiManara