Yanga Vs Marumo Gallants Fainali Kombe la Shirikisho Afrika . Yanga Vs Marumo Gallants Fainali Kombe la Shirikisho Afrika .
Shabiki wa simba akubali yanga ni bora baada ya kutinga fainali kombe la shirikisho.
Mara ya kwanza Timu kutoka Tanzania imetinga hatua ya Fainali Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kumchabanga Marumo Gallants Goli 2 kwa 1 Nyumbani kwake. Mmoja wa Mashuhuda wa Rekodi hiyo ni Mwamba wa Umalila Baraka Adson Mpenja ambae ametoa maoni yake juu ya Rekodi hiyo na Ubora wa Kikosi cha Yanga. Aidha amenyoosha Mikono kwa Nyota Fiston Mayele juu ya Ubora alionao akiwa Kiwanjani, Goli moja na Pasi moja ya mwisho. Mpenja amekiri kuwa Msimu huu Yanga anakuwa Bingwa wa Kombe la Shirikisho Afrika, na Kizazi hiki ndio Kizazi Bora cha Yanga tangu kuanzishwa kwake kwa mujibu wa Rekodi.
Yanga yatinga fainali kombe la shirikisho.
mashabiki wa yanga wakiwa na furaha, god yanga aongoza mashabiki.
mchezo wa kombe la shirikisho Yanga vs Marumo gallants.