#football #soccer #sports #yanga #yangasc #simba #realmadrid #arsenal#yangasc #yanga #liverpool #barcelona
Jiunge na WhatsApp group. https://chat.whatsapp.com/JWGO7LkudEDCabZD8trcgZ Wasiliana Nasi-: Phone: +255677071019 P.O.BOX 1947 Dodoma Tanzania Email: tanganyikaproductions@gmail.com Website:http://tanganyikaproductions.co.tz/
- Siko hapa kwa ajili ya kuwafananisha Bali kuwasilisha kile nilichokuwa nafanyia kazi Siku ya Jana... ✓ - Ni Ngumu muda mwingine kupata mkubwa zaidi ndani ya wakubwa ..ila kwa max Nzengeli na Gueye niliwapata hao ...✓ - Libasse Gueye kwa Simba Sc na Max Nzengeli kwa Yanga Sc. - Lakini wanatofauti Moja ya Ki-tactical ..max Nzengeli ni +1 player na Libasse ni wale players ambao hutengeneza uncertainty conditions kwa Mpinzani... ✓ Ila Sikiliza hiyo video hapo juu