- Siko hapa kwa ajili ya kuwafananisha Bali kuwasilisha kile nilichokuwa nafanyia kazi Siku ya Jana... ✓ - Ni Ngumu muda mwingine kupata mkubwa zaidi ndani ya wakubwa ..ila kwa max Nzengeli na Gueye niliwapata hao ...✓ - Libasse Gueye kwa Simba Sc na Max Nzengeli kwa Yanga Sc. - Lakini wanatofauti Moja ya Ki-tactical ..max Nzengeli ni +1 player na Libasse ni wale players ambao hutengeneza uncertainty conditions kwa Mpinzani... ✓ Ila Sikiliza hiyo video hapo juu