Katika mchezo wa Kombe la Shirikisho barani Afrika kati ya Simba dhidi ya Berkane uliochezwa katika dimba la #BenjaminMkapa jijini Dsm, mchezo ulitamatika kwa wenyeji Simba kuibuka na Ushindi wa bao 1. Katika mchezo huo pia ilitokea sitofahamu baada ya Rs Berkane kupata goli na mwamuzi msaidizi kunyanyua kibendera cha Offside hali iliyopelekea mpira kusimama kwa muda kufuatia vurugu zilizojitokeza. #simba #rsberkane #simbavsberkane #caf #golilaberkanelililokataliwa #golilasimba #papeosmanesakho
#Mnyama Simba leo March 13, 2022, anatupa karata ya nne ya hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya RS Berkane ya Morroco, Uwanja wa Benjamin Mkapa. Mpenja TV, tuko Dimba la Mkapa kukupata habari zote za kabla na baada ya mechi kwa Weledi wa hali ya juu kabisa. Tafadhali endelea kabaki na sisi…. #SimbaSCvsRSBerkane #Simba #RSBerkane #KombeLaShirikishoAfrica #BenjaminMkapaStadium #CAF #MpenjaTV
#kissfmtanzania #simbasc #rsberkane #cafconfederation cup TIME: 16:00 - 19:00hrs Tufuatilie pia kwenye kurasa zetu za mitandao ya kijamii; Twitter: https://twitter.com/kissfmtanzania Instagram: https://www.instagram.com/kissfmtanza... Facebook: https://www.facebook.com/kissfmtanzani
Kuendelea kupata habari mbalimbali tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamiii:- Facebook : https://www.facebook.com/Mbiu-ya-SautiKuu-1743739459176507/?ref=your_pages. Instagram : https://www.instagram.com/mbiuyasautikuutv/ YouTube : http://www.youtube.com/MbiuyaSautiKuuTv/
SUBSCRIBE HAPO JUU tembelea WEBSITE YETU https://bmtvtanzania.com/ INSTAGRAM https://www.instagram.com/bmtvtanzania FACEBOOK https://www.facebook.com/bmtvtanzania TWITTER https://twitter.com/bmtvtanzania1
Ahmed Ally Atoa tamko tunamshtaki Eng. Hersi Afungiwe baada Kuongea maneno Mabaya dhidi ya Simba. #kibweonlinetv #simbasc #ahmedally #yangasc #enghersi #rsberkane
#subscribe #millardayo #sports #wasafimedia #hajimanara #simba #yanga #htmnews #mpenjatv #diamondplatinumz #rsb #rsberkane #morocco
#ZBC2 #CAFCC #CAFConfederationCup #KombeLaShirikisho #SimbaMorocco #SimbaSC #SSC #RSBerkane #RSBerkaneSimba