CAF AWARDS 2025 | Hivi ndivyo nyota magwiji wa soka la Afrika, Asamoah Gyan na Manucho walivyomtangaza Clement Mzize (Yanga SC) kuwa mshindi wa tuzo ya goli bora la mwaka. Pia sikiliza alichokisema Clement mwenyewe kuhusu tuzo hiyo akitoa shukrani zake kwa CAF, wachezaji wenzake, benchi la ufundi, na wote waliompigia kura. Mzize anasema โโฆhii ni ya kwetu woteโ Goli lenyewe ni lile alilowafunga TP Mazembe kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, msimu uliopitaโฆYanga ikishinda 3-1 kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Januari 4, 2025. Ni usiku wa tuzo kwa waafrika waliofanya vizuri kwenye ulimwengu wa soka mwaka 2025. Ilikuwa LIVE #AzamSports1HD #CAFAwards2025 #CAFAwards #TuzoZaCAF
Clement Mzize mchezaji Maarufu wa Klabu ya Yanga Nchini Tanzania, alitua Mkoani Iringa Nyumbani Safari yake ya kusakata Kumbukumbu (Kucheza Mpira wa Miguu) ilipoanzia. Mzize alifika mpaka uwanja wa Samora uliopo katika Manispaa ya Iringa kushiriki mechi ya kirafiki kati ya Timu yake ya Zamani ya marafiki zake wa kijiwe cha Bodaboda inayoitwa Majembe FC dhidi ya Vyaboli FC. Katika michezo huo, Clement Mzize alifanikiwa Kufunga magoli mawili katika Dakika za kipindi cha Kwanza yaliyoifanya Timu yake ya Zamani ya Majembe FC kuimbuka na Ushindi wa Goli 4 - 2. Focus Digito TV inakupa Maudhui Mazuri yanayohusu Habari, Elimu, Mitindo ya maisha, Michezo na Burudani. Focus Digito TV is here to provide you with contents about News, Education, Lifestyles, Sports and Entertainments. Clement Mzize Yanga | Mzize Yanga | Clement Mzize Interview | Clement Mzize Skills | Clement Mzize Goals | Mzize Dukani | Mzize Shop | Mzize Leo | Mzize Own Goal | Mzize Goal vs Tp Mazembe | Highlights | LiveSubscribe (Focus Digito TV) ili usipitwe na Video mpya zinazotoka kila siku. EXCLUSIVE: CLEMENT MZIZE AFUNGUKA NYUMA YA PAZIA BAADA YA KUHITAJIKA NA VILABU VINGI AFRIKA HIGHLIGHTS: YANGA 3 - 1 TP MAZEMBE| CLEMENT MZIZE NA AZIZ KI WALIVYOMALIZA SHUGHULI KWA MKAPA. MZIZE ASHINDWA KUJIZUIA BAADA YA KUKUTA NYOMI LA WATU DUKANI KWAKE HUYU MZIZE NOMA! ONA ALIVYODAKA PENALTI KAMA DIARRA | APIGIWA SALUTE NA BENCHI LA UFUNDI #FocusDigitoTV .................. Tufuatilie Zaidi kupitia: INSTAGRAM, TIKTOK, FACEBOOK, TWITTER (X), THREADS NA GOOGLE WEBSITE YETU YA FOCUS DIGITO TV Focus Digito TV is one of the best info-edu-tainment Online Media conveying contents for the Public Interest. Asante kwa kuchagua kutufuatilia | Thanks for Subscribing We Love You | Tunakupenda Regards Team FocusDigitoTV
For more videos, visit: www.youtube.com/user/MyAfricanFootball - Like us on Facebook: https://www.facebook.com/AfricaCupOfNationsOfficial https://www.facebook.com/CAFChampionsLeague.CAFConfederationCup - Follow us on Twitter : https://twitter.com/caf_online (caf_online_fr / caf_online_AR) - Find out our best photos on Instagram: http://instagram.com/caf_online - Follow us on TikTok : https://www.tiktok.com/@caf_online?is_from_webapp=1&sender_device=pc Pour plus de vidรฉos, rendez-vous sur: http://youtube.com/myafricanfootball - Rejoignez la CAF sur Facebook: https://www.facebook.com/AfricaCupOfNationsOfficial https://www.facebook.com/CAFChampionsLeague.CAFConfederationCup - Suivez-nous sur Twitter: https://twitter.com/caf_online (caf_online_fr / caf_online_AR) - Dรฉcouvrez nos meilleures photos sur Instagram: http://instagram.com/caf_online ูู ุฒูุฏ ู ู ู ูุงุทุน ุงูููุฏูู ุ ุชูุถู ุจุฒูุงุฑุฉ: http://youtube.com/myafricanfootball - ุดุงุฑููุง ุนูู Facebook: https://www.facebook.com/AfricaCupOfNationsOfficial https://www.facebook.com/CAFChampionsLeague.CAFConfederationCup - ุชุงุจุนูุง ุนูู ุชููุชุฑ: https://twitter.com/caf_online (caf_online_fr / caf_online_AR) - ุงูุชุดู ุฃูุถู ุตูุฑูุง ุนูู Instagram: http://instagram.com/caf_online
Halima James Mdee na Ester Bulaya ambao ni wabunge wa viti maalum wameonyesha furaha yao baada ya Yanga kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya TP Mazembe katika mchezo wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Mdee ameeleza kufurahishwa na kiwango bora cha wachezaji wa Yanga, akisisitiza umuhimu wa kuwapa moyo na kuwaunga mkono wakati huu mgumu, kwani itawasaidia kujituma zaidi kwenye mechi zijazo. Kwa upande wake, Bulaya ametamba kuwa Yanga ni timu yenye uwezo wa kupindua meza, akibainisha kuwa walikuwa na nafasi ya kufunga hata mabao matano katika mchezo huo uliochezwa leo Januari 4, 2025. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj
#DaimaMbeleNyumaMwiko #TimuYaWananchi
Tafadhali Subscribe Shutikali Tv ili kuwa wa kwanza kupata taarifa mbalimbali za Michezo #sokatanzania #simba #yanga #azam #mpira #football #tanzania #chama #feitoto# #mayele#azizki#mosesPhiri#mashabikisimbayanga#ahmedyally#allykamwe#
๐ช๐๐๐๐๐๐๐๐ ยฉ2024 ๐พ๐๐๐๐๐ ๐ด๐๐ ๐๐. ๐จ๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ . #wasafi #wasafitv #wasafifm