Tazama matukio mbalimbali yaliyojiri kwenye mchezo wa kirafiki kati ya Simba SC dhidi ya Power Dynamos ya Zambia kwenye tamasha la Simba Day. Simba SC wameshinda kupitia magoli ya Willy Onana na Fabrice Ngoma.