DUUH!! HAJI MANARA AGEUKA MBOGO ATEMA NYONGO KUHUSU MECHI YA SIMBA NA YANGA KUHUSU PENATI WANAZODAI
Coastal Union imelazimisha sare ya 2-2 dhidi ya Simba katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliopigwa kwenye Dimba KMC Complex, Dar es Salaam. Simba wametangulia kwa magoli mawili kipindi cha kwanza kutoka kwa Mohamed Hussein Zimbwe Jr. na Lionel Ateba kwa penati , lakini Coastal wakacharuka kipindi cha pili na kupata magoli mawili kupitia kwa Abdallah Hassan na Hernest Malonga.... Tazama highlights....
Clatous Chama amefunga goli moja na kutoa assist nne, Yanga SC ikiwanyoosha Vital'O ya Burundi kwa kichapo kizito cha magoli 6-0 katika mchezo wa marudiano Ligi ya Mabingwa Afrika #CAFCL uliopigwa kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi.... Waliofunga magoli hayo ni Pacome Zouzoua kwa penati dakika ya 14, Clement Mzize dakika ya 49, Clatous Chama dakika 51, Prince Dube dakika 71, Stephane Aziz Ki dakika ya 78 na Mudathir Yahya dakika ya 86.
Clatous Chama amefunga goli moja na kutoa assist nne, Yanga SC ikiwanyoosha Vital'O ya Burundi kwa kichapo kizito cha magoli 6-0 katika mchezo wa marudiano Ligi ya Mabingwa Afrika #CAFCL uliopigwa kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi.... Waliofunga magoli hayo ni Pacome Zouzoua kwa penati dakika ya 14, Clement Mzize dakika ya 49, Clatous Chama dakika 51, Prince Dube dakika 71, Stephane Aziz Ki dakika ya 78 na Mudathir Yahya dakika ya 86. Haya hapa magoli yote......
Magoli manne yamefungwa, Yanga ikishinda 4-0 ugenini dhidi ya Vital'o ya Burundi, mchezo wa kwanza hatua ya awali kwenye Ligi ya Mabingwa barani Afrika ukipigwa kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi. Wafungani ni Prince Dube dakika 6, Clatous Chama dakika ya 68, Clement Mzize dakika ya 74 na Stephane Aziz Ki kwa penati dakika ya 90.