Magoli na kadi nyekundu | Yanga 4-1 Tanzania Prisons | Azam Sports Federation Cup 03/03/2023
Magoli na kadi nyekundu | Yanga 4-1 Tanzania Prisons | Azam Sports Federation Cup 03/03/2023

Clement Mzize amehusika kwenye magoli yote manne, Yanga ikiichapa Tanzania Prisons 4-1 katika mchezo wa 16 bora na kutinga robo fainali kwa kishindo. Clement Mzize amefunga magoli magoli dakika ya 70 na 88 huku akisababisha goli la kwanza lililofungwa na Bakari Mwamnyeto dakika ya 52 na penati iliyofungwa na Stephane Aziz Ki dakika ya 69. Katika mchezo huu uliomaliza dakika 45 za kipindi cha kwanza bila goli, Tanzania Prisons walipata pigo kwa beki wake Ibrahim Abraham kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 45 baada ya kupata njano mbili, lakini pia Clement Mzize alikosa penati dakika ya 90. Ni #AzamSportsFederationCup iliyopigwa kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi.

Simba v Vipers 1-0 full Highlights/Kosakosa za wazi/Tukio la penati/Counter ya Chama Vipers vs Simba
Simba v Vipers 1-0 full Highlights/Kosakosa za wazi/Tukio la penati/Counter ya Chama Vipers vs Simba

Simba v Vipers 1-0 full Highlights/Kosakosa za wazi/Tukio la penati/Counter ya Chama Vipers vs Simba.

Geita Gold 1-1 Azam FC | Highlights | NBC Premier League 21/12/2022
Geita Gold 1-1 Azam FC | Highlights | NBC Premier League 21/12/2022

Goli la Prince Dube dakika ya 15 limesawazishwa na penati ya Offen Chikola dakika ya 69 na mchezo kumalizika kwa sare ya ...

Magoli | Geita Gold 1-1 Azam FC | NBC Premier League 21/12/2022
Magoli | Geita Gold 1-1 Azam FC | NBC Premier League 21/12/2022

Goli la Prince Dube dakika ya 15 limesawazishwa na penati ya Offen Chikola dakika ya 69 na mchezo kumalizika kwa sare ya ...

« Previous Next »

Popular Tags

#Counter Attack Goals Football  #Michael Jordan  #Amazing Solo Goals  #Shot Goals  #LeBron James  #Tristan Thompson  #Kobe Bryant  #Allen Iverson  #Thomas Muller  #Boston Celtics  

Popular Users

#MariaSharapova  #ATLHawks  #RSherman_25  #b_ryan9  #Kaepernick7  #StephenCurry30  #kobebryant  #GNev2  #britneyspears  #HEELZiggler  #espn  #criscyborg  #realmadrid  #YouTube  #BaileyLAKings