Azam FC 2-3 Simba SC - Highlights
Azam FC 2-3 Simba SC - Highlights

Timu ya Simba imepata ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Azam FC katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliopigwa usiku wa leo (04/03/2020) kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Magoli ya Simba yamefungwa na Erasto Nyoni, Deo Kanda na Medie Kagere wakati Azam wakijipatia mabao yao kupitia kwa Never Tigere na Idd Selemani Nado. Tazama Vodacom Premier League, taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Azam FC 2-3 Simba SC | Magoli, utata wa penati na utata wa off-side - VPL 04/03/2020
Azam FC 2-3 Simba SC | Magoli, utata wa penati na utata wa off-side - VPL 04/03/2020

Mnyama Simba ameibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Azam FC katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliopigwa usiku wa leo kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Magoli ya Simba yamefungwa na Erasto Nyoni, Deo Kanda na Medie Kagere wakati Azam wakijipatia mabao yao kupitia kwa Never Tigere na Idd Selemani Nado. Tazama Vodacom Premier League, taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Kocha MATOLA Ataja MAPUNGUFU ya TAIFA STARS, Athibitisha "LIBYA ATAKUFA"
Kocha MATOLA Ataja MAPUNGUFU ya TAIFA STARS, Athibitisha "LIBYA ATAKUFA"

Kocha MATOLA Ataja MAPUNGUFU ya TAIFA STARS, Athibitisha "LIBYA ATAKUFA" TANZANIA imeanza vyema mbio za Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2021 baada ya kutoka nyuma na kushinda 2-1 dhidi ya Equatorial Guinea usiku wa Kuamkia leo November 16 Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Haukuwa ushindi mwepesi, kwani hadi mapumziko, tayari Equatorial Guinea walikuwa mbele kwa bao 1-0 lililofungwa na mshambuliaji wa Sassuolo ya Italia, Pedro Mba Obiang dakika ya 15 akimtungua kipa mkongwe wa Tanzania, Juma Kaseja kwa shuti la mbali. Kikosi kilichanza cha Stars kilikuwa na Juma Kaseja, Erasto Nyoni, Kelvin Yonda, Hassan Kessy, Bakari Mwamnyeto, Salum Abubakar, Mbwana Samatta, Simon Msuva, Mohamed Hussein, Farid Mussa na Mzamiru Yassin. Mabao yote ya Tanzania yalifungwa kipindi cha pili, ambapo bao la kwanza liliwekwa kimiani na Simon Msuva, na pili likifungwa dakika za nyongeza na Salum Aboubakary (SURE BOY), YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982) ---------------------------------------------------------------------------------------------------------------- HABARI MPYA DAILY: https://www.youtube.com/playlist?list... HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: https://www.youtube.com/playlist?list... GLOBAL RADIO TV: https://www.youtube.com/playlist?list... EXCLUSIVE INTERVIEW: https://www.youtube.com/playlist?li



MSUVA - "Nilisema NITAFUNGA, Mimi MZOEFU, Goli la SURE BOY ni BALAA"
MSUVA - "Nilisema NITAFUNGA, Mimi MZOEFU, Goli la SURE BOY ni BALAA"

MSUVA - "Nilisema NITAFUNGA, Mimi MZOEFU, Goli la SURE BOY ni BALAA" TANZANIA imeanza vyema mbio za Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2021 baada ya kutoka nyuma na kushinda 2-1 dhidi ya Equatorial Guinea usiku wa Kuamkia leo November 16 Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Haukuwa ushindi mwepesi, kwani hadi mapumziko, tayari Equatorial Guinea walikuwa mbele kwa bao 1-0 lililofungwa na mshambuliaji wa Sassuolo ya Italia, Pedro Mba Obiang dakika ya 15 akimtungua kipa mkongwe wa Tanzania, Juma Kaseja kwa shuti la mbali. Kikosi kilichanza cha Stars kilikuwa na Juma Kaseja, Erasto Nyoni, Kelvin Yonda, Hassan Kessy, Bakari Mwamnyeto, Salum Abubakar, Mbwana Samatta, Simon Msuva, Mohamed Hussein, Farid Mussa na Mzamiru Yassin. Mabao yote ya Tanzania yalifungwa kipindi cha pili, ambapo bao la kwanza liliwekwa kimiani na Simon Msuva, na pili likifungwa dakika za nyongeza na Salum Aboubakary (SURE BOY), YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982) ---------------------------------------------------------------------------------------------------------------- HABARI MPYA DAILY: https://www.youtube.com/playlist?list... HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: https://www.youtube.com/playlist?list... GLOBAL RADIO TV: https://www.youtube.com/playlist?list... EXCLUSIVE INTERVIEW: https://www.youtube.com/playlist?li



VIDEO: Tanzania 2-1 Equatorial Guinea, Shangwe la Mashabiki
VIDEO: Tanzania 2-1 Equatorial Guinea, Shangwe la Mashabiki

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars BAO la la dakika za usiku lililofungwa na Abubakar Salum 'Sure Boy' limeiwezesha Taifa Stars kuvuna alama tatu katika mchezo wa kusaka tiketi ya kushiriki fainali za Afcon 2021 baada ya kuifunga Guinea ya Ikweta mabao 2-1. Kikosi kilichanza cha Stars kilikuwa na Juma Kaseja, Erasto Nyoni, Kelvin Yonda, Hassan Kessy, Bakari Mwamnyeto, Salum Abubakar, Mbwana Samatta, Simon Msuva, Mohamed Hussein, Farid Mussa na Mzamiru Yassin. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Bao la Stars lilifungwa na Simon Msuva dakika 68 baada ya kumzidi ujanja kipa wa Guinea ambaye muda mwingi alionekana kuwa kinara wa kuizuia Stars kufunga na hadi dakika za nyongeza, Sure Boy alipoachia shuti kali lililozama nyavuni na kuipa ushindi Stars mabao 2-1. Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars



Erasto Nyoni alilazimika Kutoa Kichwa nje, Kwaambia Wana Simba Maneno haya
Erasto Nyoni alilazimika Kutoa Kichwa nje, Kwaambia Wana Simba Maneno haya

SUBSCRIBE HAPO JUU tembelea WEBSITE YETU https://bmtvtanzania.com/ INSTAGRAM https://www.instagram.com/bmtvtanzania FACEBOOK https://www.facebook.com/bmtvtanzania TWITTER https://twitter.com/bmtvtanzania1




« Previous Next »


Popular Tags

#Best Goals  #Football Skills  #New York Knicks  #Football Defensive Skills  #Michael Jordan  #Thomas Muller  #Kobe Bryant  #Sergio Aguero  #Miami Heat  #Golden State Warriors  

Popular Users

#richarddeitsch  #rogerfederer  #Buccigross  #twitter  #blakegriffin23  #BMcCarthy32  #TheNotoriousMMA  #J_No24  #billsimmons  #NiallOfficial  #floydmayweather  #NASA  #BrunoMars  #SteveNash  #fauxpelini