HAWA NDIO WACHEZAJI 27 WA SIMBA WANAOIFATA AS VITA
HAWA NDIO WACHEZAJI 27 WA SIMBA WANAOIFATA AS VITA

KIKOSI CHA SIMBA KINACHOONDOKA LEO SAA 10:00 JIONI KUELEKEA DR CONGO KUWAFUATA AS VITA CLUB. 1.Aishi Manula 2.Beno Kakolanya 3.Ally Salum 4.Shomary Kapombe 5.Joash Onyango 6.Pascal Wawa 7.Ibrahim Ame 8.Erasto Nyoni 9.Peter Mduhwa 10.Kened Juma 11.Gadiel Michael 12.Mohamed Hussein 13.Taddeo Lwanga 14.Jonas Mkude 15.Rally Bwalya 16.Said Ndemla 17.Mzamiru Yassin 18.Luis Miquissone 19.Hassan Dilunga 20.Ibrahim Ajibu 21.Claotus Chama 22.Bernard Morrison 23.Fransis Kahata 24.Meddie Kagere 25.Miraji Athuman 26.Criss Mgalu 27.Junior Lokosa Simba SC watasafiri na wachezaji 27 huku captain John Bocco akiachwa Kutokana na majeraha aliyonayo.



Mzee Muchacho Akaukiwa Sauti /Aiponda YANGA "SISI NDO BABA LAO KIMATAIFA"
Mzee Muchacho Akaukiwa Sauti /Aiponda YANGA "SISI NDO BABA LAO KIMATAIFA"

MZEE MUCHACHO AKAUKIWA SAUTI LEO, Simba SC IKIIUA FC PLATINUM 4-0 Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars MCHEZO wa Klabu Bingwa Afrika kati ya Simba na FC Platinum umemalizika kwa Simba kuibuka na ushindi wa bao 4-0, mabao yaliyofungwa na Erasto Nyoni, Shomari Kapombe, John Bocco na Clatous Chama. Kipindi cha pili kilianza kwa Simba kuendelea walipoishia kwani waliingia kwa kushambulia kama ilivyokuwa kipindi cha kwanza na dakika ya 50, Luis Miquisone alipiga mkwaju wa faulo uliogonga mwamba wa juu baada ya kuangushwa na beki wa Platinum nje kidogo ya boksi la 18. FC Platinum nao walionekana kuchachamaa kwa kwani katikati ya dakika 50 hadi 55 waliweza kupata kona mbili ambazo hazikuleta madhara yeyote kwenye lango la Simba, pia dakika ya 57 mshambuliaji mmoja wa Platinum alikosa bao la wazi akiwa amebaki yeye na kipa na kupiga mpira uliotoka nje. Dakika ya 60 Simba walifanya mabadiliko kwa kumtoa Said Ndemla na nafasi yake kuchukuliwa na Ibrahim Amme na dakika ya 61 Simba wakapata bao la pili kupitia kwa beki wao wa kulia Shomari Kapombe. Baada ya bao hilo la pili kwa Simba mchezo mchezo kwa ujumla ulifunguka na timu zote mbili kuanza kucheza kws kutafuta bao japo Plutinum walionekana kuliandama mara kwa mara goli la Simba. HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars



MIKWARUZANO KIPINDI CHA KWANZA NA PENALTY YA NYONI SIMBA SC 4-0 FC PLATINUM.
MIKWARUZANO KIPINDI CHA KWANZA NA PENALTY YA NYONI SIMBA SC 4-0 FC PLATINUM.

Simba sasa wanaendeleza ubabe wake Kwa kuichapa fc platinum goli NNE Kwa sifuri. sasa Simba Sc wanakuwa vinara WA group diamond platnumz,simba,john pombe magufuli,simba sc vs platnumfc



Tazama 🔴 Simba SC vs FC Platinum | WAR In DAR - WIDA|  Bao la 1 la Erasto Nyoni Dakika ya 39
Tazama 🔴 Simba SC vs FC Platinum | WAR In DAR - WIDA| Bao la 1 la Erasto Nyoni Dakika ya 39

To watch tomorrow's episode of Maria Citizen TV Live click on the link below to SUBSCRIBE: https://www.youtube.com/channel/UCjGNFTJT2RuVijbXtfbgFJw?sub_confirmation=1 #SimbaSC #NguvuMoja #WekunduWaMsimbazi #FCPlatinum #CAFCL #WIDA Tazama 🔴 Simba SC vs FC Platinum | WAR In DAR - WIDA| Bao la 1 la Erasto Nyoni Dakika ya 39



C.E.O SIMBA AWAPA MAKAVU/MORRISON, NYONI/PLATEAU KUIPELEKA SIMBA CAF
C.E.O SIMBA AWAPA MAKAVU/MORRISON, NYONI/PLATEAU KUIPELEKA SIMBA CAF

-- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali tembelea www.dar24.com #Mohameddewji #Barbaraganzalez #Mwanafa



MAMBO 10 MCHEZO WA COASTAL NA SIMBA"KOCHA WA COASTAL UNION ALIKOSA HESHIMA,MAN OF THE MATCH NYONI"
MAMBO 10 MCHEZO WA COASTAL NA SIMBA"KOCHA WA COASTAL UNION ALIKOSA HESHIMA,MAN OF THE MATCH NYONI"

MAMBO 10 MCHEZO WA COASTAL NA SIMBA"KOCHA WA COASTAL UNION ALIKOSA HESHIMA,MAN OF THE MATCH NYONI"



ERASTO NYONI "MECHI YA YANGA Tulijipanga /Kila Mechi Ina Maandalizi Yake"
ERASTO NYONI "MECHI YA YANGA Tulijipanga /Kila Mechi Ina Maandalizi Yake"

ERASTO NYONI "MECHI YA YANGA Tulijipanga /Kila Mechi Ina Maandalizi Yake" SIMBA leo imebanwa mbavu mbele ya Klabu ya Mbao FC kwa kukubali kichapo cha mabao 3-2 kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Taifa, leo Julai 16. Mbao ilianza kuibuka kwenye lango la Simba dakika ya 5 baada ya kipa namba tatu wa Simba, Ally Salim kutema mpira uliokutana na guu la Rajab Rashid dakika ya 5. Iliwabidi Simba wasubiri mpaka dakika ya 35 ambapo waliandika bao la kusawazisha kupitia kwa mshambuliaji wao namba moja Meddie Kagere kwa mkwaju wa penalti. Bao hilo halikudumu kwani Mbao iliongeza msumari wa pili dakika ya 45+2 kupitia kwa Wazir Jr na kuwafanya Simba waende mapumziko wakiwa nyuma kwa mabao 2-1 huku Mbao ndio wakiwa wataalamu wa mchezo. Kipindi cha pili kiungo mshambuliaji wa Simba Miraji Athuman aliweka usawa dakika ya 52 ila bao hilo lilidumu dakika saba wakatunguliwa Simba bao jingine tena dakika ya 59. Jordan John dk 59 alìwanyanyua mashabiki wa Mbao FC na kuwafanya wasepe na pointi tatu mbele ya Simba wakiwatungua mabao mengi kwa msimu huu ambayo ni matatu. Licha ya ushindi huo Mbao FC wanabaki nafasi yao waliyokuwa kabla ya kucheza na Simba ya 19 wakiwa wamecheza mechi 35 kibindoni wana pointi 38 wanapambana kujinasua na hatari ya kushuka daraja. Simba pia wanaongeza idadi ya michezo ya kufungwa na kufikia minne kwa sasa wakiwa pia wamecheza mechi 35 na pointi zao 81 wakiwa tayari ni mabingwa. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline




« Previous Next »


Popular Tags

#Counter Attack Goals Football  #LeBron James  #Football Skills  #Allen Iverson  #Paul Pogba  #Shaquille O'Neal  #Chris Paul  #Chicago Bulls  #Amazing Solo Goals  #Kawhi Leonard  

Popular Users

#themichaelowen  #JJWatt  #nyt4thdownbot  #Drake  #blakegriffin23  #criscyborg  #billsimmons  #AntDavis23  #nytimes  #TheCUTCH22  #fauxpelini  #MariaSharapova  #DwyaneWade  #steveaustinBSR  #oldhossradbourn