KAULI ya KOCHA YANGA Baada ya KUICHAPA POLISI TZ Leo, Amtaja FEI TOTO - "NILITAKA POINTI 3" MTANANGE wa ligi kuu Tanzania bara kati ya Yanga vs Polisi TZ, Umemalizika kwa wana Jangwani kuwatandika kichapo cha bao (1-0) maafande hao.. Baada ya mchezo kumalizika Kocha mpya wa Yanga, Cedric Kaze, amezungumza na wanahabari juu ya alichokiona kwenye mchezo huo.. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
Yanga SC wamepanda kileleni mwa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa 3-0 dhidi ya Coastal Union Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Yanga SC inayofundishwa Mserbia, Zlatko Krmpotic inafikisha pointi 13 baada ya ushindi huo katika mchezo wa tano, sasa ikiongoza Ligi Kuu kwa pointi tatu dhidi ya mabingwa watetezi, Simba SC ambao wana mechi moja mkononi. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars
YACOUBA Sogne mshambuliaji wa Yanga amewasili Tanzania leo Agosti 31 akitokea nchini Burkina Faso. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars