FULL MATCH HIGHLIGHTS TP MAZEMBE 0 -1 YANGA CAF CONFEDERATION CUP TV3 TANZANIA GAME ON

Kwa story zaidi za kimichezo, matukio, vicheko na vilio vya kispoti tufuatilie kupitia Mitandao ya kijamii hii : ►JOIN OUR WhatsApp Group: https://chat.whatsapp.com/Go7uQgGCzSIHHAiPH8Frr8 ►SUBSCRIBE: https://www.youtube.com/channel/UCZFvoDR_NaJ65zmsIibpFeQ?sub_confirmation=1 ►Instagram https://www.instagram.com/tv3tz ►TikTok https://www.tiktok.com/@tv3tz ►Facebook https://www.facebook.com/tv3tanzania ►Twitter https://twitter.com/Tv3Tanzania #Tv3Tanzania Katika kisimbuzi cha @startimestz CH 131 (Antena) na CH 197 (Dish) RATIBA ZA VIPINDI VYETU DIMBANI JUMATATU HADI IJUMAA KUANZIA SAA 1 KAMILI ASUBUHI KIJIWE JUMATATU HADI IJUMAA KUANZIA SAA 1:30 USIKU BENCHI LAUFUNDI JUMATATU HADI IJUMAA SAA 12 JIONI TOBOA JUMATATU KUANZIA SAA TATU KAMILI USIKU #Tv3Tanzania #GameOn #Manula #kapombe #Onyango #Sakho #MosesPhiri #Henock #Inonga #Chama #Clatus #TripleC #Bocco #JohnBocco ##Mzamiru #Kanoute #Nyoni #Kyombo #Kibu #KibuDenis #Hussein #Beno #Mkude #Okrah #Diarra #Djuma #Lomalisa #Job #DicksonJob #Bangala #YanickBangala #Aucho #Sureboy #Moloko #Mayele #FistonMayele #ZanzibarFinest #FeisalSalum #Feisal #Kisinda #BakariMwamnyeto #BernardMorrison #Morrison #Clement #AzizKi #Farid #FaridMussa #KibwanaShomari #WilbolMaseke #LusajoMwaikenda #BruceKangwa #EdwardManyama #DanielAmoah #SospeterBajana #KipreJunior #JamesAkaminko #PrinceDube #YahyaZayd #AyoubLyanga #Sopu #Msindo #Sebo #Foba #Muguna #Edinho #Nado #Mbombo #Mkandala

FULL MATCH HIGHLIGHTS YANGA 2-0 BAMAKO I CAF CONFEDERATIONS CUP

ONA ALICHOKISEMA SHABIKI WA SIMBA ANAEMKUBALI FISTON MAYELE BAADA YA SIMBA KUWAFUNGA DODOMA JIJI

✍Simba SC hawakuwa katika ubora ambao wenyewe wangetamani lakini wamevuna alama 3 , katika mechi zote za msimu ngumu mechi zote ucheze kwa kiwango cha juu , muhimu ni kukusanya alama tatu ndio waliciofanya leo dhidi ya Dodoma FC ambao hawakuonesha madhara kwenda mbele . ✍Dodoma FC dakika kama 5 au 10 za mwanzo walianza na BACK 3 lakini wakaibadilisha haraka na kwenda 4-3-3 wakiwa na mpira na 4-4-2 bila mpira , hawakutaka kuzidiwa idadi ya wachezaji katikati ya uwanja na pembeni ya uwanja... lakini bado mara kadhaa waliacha spaces kubwa sana baina ya mstari mmoja na mwingine na mchezaji kwa mchezaji ✍Ni Simba tu wenyewe , Dodoma ni kama vile hawakuwa na mpango au maono ya kutafuta goli, walikuwa tayari kufungwa ( Dodoma was there for taking ) ...Simba hasa kipindi cha kwanza walikuwa slow sana , umakini unakosekana , walikuwa wanacheza kama wanaongoza 3 au 4 , mpira haukutembea kwa haraka kutoka sehemu moja kwenda nyingine ...viungo watatu ( Chama Nyoni Mzamiru ) + mawinga wawili ( Banda na Sakho ) wote wanacheza mbele ya Dodoma ...hakukuwa na mikimbio ya kutosha nyuma ya kiungo cha Dodoma na safu ya ulinzi ya Dodoma ( Easy to defend ) ✍Nafikiri Dodoma walicheza bila imani kwamba wanaweza kufunga au kupata chochote kitu dhidi ya Simba ,kuna muda walikuwa " Casual " sana , jinsi idadi ya mipira waliyokuwa wanapoteza kirahisi , iwe kwenye kiungo mpaka pembeni ya uwanja ( Sloppy ) nafikiri hata Wawa na Onyango wanaweza wakaangaliana na kujiuliza " Hivi leo mbona hatuna kitu cha kuzuia ? " 😀 NOTE 1: George Wawa sijui alikuwa anafikiria nini ? Alijua refa hatomuona kushika mpira kwa staili ile ? Doh 😀😀 na bado akabisha,Chama Jr alituliza akili licha ya wachezaji wa Dodoma kumfanyia " Mind game" 2: Cleophace Mkandala ..amekosa tu msaada kutoka kwa wenzake,maana ndio mchezaji pekee ambaye akiwa na mpira ndio unaona anaweza kufanya jambo. 3: Positive nyingine kwa Simba ukiacha alama 3 ni kurejea kutoka kwenye majeraha baadhi ya wachezaji 4: Peter Banda hakuacha kujaribu kutengeneza nafasi mpaka akapata assist yake kwa Kagere. Never give up 5: Dodoma inaonekana bado inasukwa ..muda unakimbia FT: Simba 2-0 Dodoma FC

UTACHEKA!! SHABIKI SIMBA ATEMA SHOMBO BAADA YA KUWAFUNGA 2-0 DODOMA JIJI KWA MKAPA

MSEMAJI DODOMA JIJI MOSES MPUNGA ALIPUKA/MKANDALA FUNDI/WAMSHUKURU MUNGU/WATALALA NA VIATU HAWA

Leo March 07/2022 Ligi Kuu ya NBC Inaendelea 🏟Katika Dimba la Benjamin Mkapa Dar es Salaam 🔥🔥ni Vita ya Mabingwa watetezi Simba Sc dhidi ya Wakulima wa Zabibu Dodoma Jiji. Itakuwaje leo Chama, Sakho Kufanya kama walivyofanya Dhidi ya Biashara United???. Tusubiri Kipute Dakika 90 Kuamua mechi…. Mpenja Tv tupo hapa Benjamin Mkapa Kukuletea kila nukta ya jambo litakalojitokeza kwenye mchezo huu.... Baki na sisi, Asante kwa Kutuchagua Mpenja Tv #SimbaScVsDodomaJiji #DodomaJiji #SimbaSc #MpenjaTv

HASHEEM IBWE Achambua KIKOSI cha YANGA , KIWANGO cha MSHERY na SURE BOY - "YANGA HII IKO VIZURI"

HASHEEM IBWE Achambua KIKOSI cha YANGA , KIWANGO cha MSHERY na SURE BOY - "YANGA HII IKO VIZURI" Klabu ya Yanga leo imeshuka Dimbani kukupiga dhidi ya Dodoma jiji, ambapo dakika tisini za mchezo huo zimemalizika kwa Yanga kupata ushindi mnono wa mabao 4, huku Dodoma jiji wakiambulia patupu 0. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Highlights | Dodoma Jiji 1-0 Ruvu Shooting | TPL 28/09/2021

Goli pekee la Cleophace Mkandala limeipa Dodoma Jiji ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ruvu Shooting, katika mchezo wake wa kwanza wa msimu kwenye Dimba la Jamhuri, Dodoma. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Goli la Mkandala | Dodoma Jiji 1-0 Ruvu Shooting | TPL 28/09/2021

« Previous Next »

Popular Tags

#Russell Westbrook  #Goalkeeper Saves  #Neymar  #Zlatan Ibrahimovi  #Shot Goals  #Miami Heat  #Cristiano Ronaldo  #Football Skills  #Kawhi Leonard  #Goal Celebrations  

Popular Users

#realmadrid  #MikePereira  #SimplyAJ10  #BringerOfRain20  #MariaSharapova  #DeionSanders  #rogerfederer  #KingJames  #neymarjr  #jimmyfallon  #MieshaTate  #Buccigross  #britneyspears  #themichaelowen