Goli pekee la Idris Mbombo limewapa Azam FC pointi tatu muhimu dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo wa ligi kuu ya NBC ...
Goli pekee la Idris Mbombo limewapa Azam FC pointi tatu muhimu dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo wa ligi kuu ya NBC ...
Magoli mawili kutoka kwa Shaaban Idd Chilunda na Idris Mbombo yameipa Azam FC ushindi wa 2-0 katika mchezo wa ligi kuu ya ...
Magoli mawili kutoka kwa Shaaban Idd Chilunda na Idris Mbombo yameipa Azam FC ushindi wa 2-0 katika mchezo wa ligi kuu ya ...
🔴#LIVE: AZAM FC vs YANGA SC - DERBY ya DSM, PENGO la BANGALA, AUCHO, MOTO wa PRINCE DUBE, HAPATOSHI! KARIBU utazame 'Uchambuzi' kutoka Global TV kuelekea Mechi ya kukata na shoka ya ligi kuu bara kati ya AZAM FC vs YANGA SC, itakayochezwa majira ya saa 2 na robo katika dimba la Chamazi jijini DAR. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
Azam FC imeendeleza ubabe kwenye #NBCPremierLeague kwa kuitandika Dodoma Jiji mabao 2-0, mechi ikichezwa Azam Complex, Chamazi. Magoli ya Azam yamefungwa na Rodgers Kola dakika ya 5 na Idris Mbombo dakika ya 64. Tazama hapa magoli yenyewe.
Phase aller, JKK STADIUM, BUT DE JACSON MBOMBO
Haya magoli yote Azam FC ikiitwanga Yosso Boys mabao 5-1 kwenye mchezo wa Mapinduzi Cup 2022 na kutinga nusu fainali. Idris Mbombo, Ismail Aziz Kader na Daniel Amoah ndio waliopeleka kilio kwa Yosso Boys