Magori: Mauzo ya Ahoua, Kibu na Mukwala yalizaa kina Gueye na Oura
Magori: Mauzo ya Ahoua, Kibu na Mukwala yalizaa kina Gueye na Oura

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Crescentius Magori amesema uamuzi wa kuwauza nyota wao watatu ndiyo siri ya kuwasajili nyota wanane walioboresha kikosi hicho katika dirisha dogo na kupata timu ya ushindani. Akizungumza na Mwananchi Digital alipofanya ziara yake Kampuni ya Mwananchi, Tabata amesema hatua ya kutengeneza kikosi cha ushindani kinachoendelea kufanya vizuri haikuwa rahisi kutokana na kukosekana kwa bajeti ya kutosha. Magori alisema Simba ilisajili wachezaji wanane katika dirisha dogo la Januari ambao ni kipa Djibril Kassali, mabeki Nickson Kibabage, Ismaila Toure, viungo Libasse Gueye, Anicet Oura, Inno Loemba, Clatous Chama na mshambuliaji Baraka Mwangosi hiyo ilitokana na fedha walizopata baada ya mauzo ya wachezaji wake watatu. Januari wakati wa dirisha dogo Simba iliwauza, kiungo Jean Charles Ahoua aliyenunuliwa na CR Belouizdad ya Algeria, mshambuliaji Steven Mukwala na kiungo mshambuliaji Kibu Denis aliyeuza Al Nasri ya Libya.

🛑EXCLUSIVE MAGORI ATANGAZA KUFANYA USAJILI BAADA YA KUTINGA FAINALI FEISAL ATAJWA NI FURAHA SANA
🛑EXCLUSIVE MAGORI ATANGAZA KUFANYA USAJILI BAADA YA KUTINGA FAINALI FEISAL ATAJWA NI FURAHA SANA

EXCLUSIVE MAGORI ATANGAZA KUFANYA USAJILI BAADA YA KUTINGA FAINALI FEISAL ATAJWA NI FURAHA SANA #azamfc #simba #millardayo #simbasc #wasafi #football #globaltvonline #footballclub #live

SHAFFIH DAUDA AFUNGA MJADALA WA WAAMUZI WA DERBY| ALAANI KAULI YA MZEE MAGORI SIMBA
SHAFFIH DAUDA AFUNGA MJADALA WA WAAMUZI WA DERBY| ALAANI KAULI YA MZEE MAGORI SIMBA

SHAFFIH DAUDA AFUNGA MJADALA WA WAAMUZI WA DERBY| ALAANI KAULI YA MZEE MAGORI SIMBA

🛑FRIJI BOVU: FRIJI BOVU: MPANZU KWENDA SIMBA NI SUALA LA MUDA TU, MAGORI
🛑FRIJI BOVU: FRIJI BOVU: MPANZU KWENDA SIMBA NI SUALA LA MUDA TU, MAGORI

🛑FRIJI BOVU: FRIJI BOVU: MPANZU KWENDA SIMBA NI SUALA LA MUDA TU, MAGORI #millardayo #azamfc #football #wasafi #footballclub #globaltvonline #simbasc #yanga #simba #live

Ahmed Ally, Crescentius Magori wazungumzia usajili, Simba Day, ubaya ubwela
Ahmed Ally, Crescentius Magori wazungumzia usajili, Simba Day, ubaya ubwela

Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC, Crescentus Magori na Meneja wa Habari wa timu hiyo Ahmed Ally wamezungumzia mchakato wa usajili ndani ya klabu hiyo na kutoa tafsiri ya ubwaya ubwela.

« Previous Next »

Popular Tags

#Lionel Messi  #New York Knicks  #Paul George  #Tristan Thompson  #Stephen Curry  #Kyrie Irving  #Allen Iverson  #David Silva  #Russell Westbrook  #Neymar  

Popular Users

#cesc4official  #ddlovato  #BellaTwins  #itsBayleyWWE  #kobebryant  #nfl  #BaileyLAKings  #alexmorgan13  #realmadrid  #KingJames  #taylorswift13  #SimplyAJ10  #ochocinco  #LAKings