DAAH! MASHABIKI WA SIMBA WALIA NA MATOLA WATEMA CHECHE SARE NA KMC KWA MKAPA
DAAH! MASHABIKI WA SIMBA WALIA NA MATOLA WATEMA CHECHE SARE NA KMC KWA MKAPA

Telegram: https://t.me/KidanistarsTV VIGOGO, Simba SC wamelazimishwa sare ya 2-2 na KMC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Mabao ya Simba yamefungwa na washambuliaji wake wapya, Mzambia Moses Phiri dakika ya tatu na mzawa, Habib Kyombo dakika ya 89, wakati ya KMC yamefungwa na Matheo Anthony dakika ya 47 na George Makang’a dakika ya 57. Simba SC inafikisha pointi saba na kuendelea kuongoza ligi kwa wastani wa mabao dhidii ya mabingwa watetezi, Yanga SC baada ya wote kucheza mechi tatu. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Je,wewe unatumia Telegram? Kama ni ndio karibu kwenye Channel yetu ya Kidanistars Telegram. BONYEZA Link hii https://t.me/KidanistarsTV



MASHABIKI SIMBA WALIA UWANJANI, WAMKATAA KOCHA MATOLA - ''HATUMTAKI, AONDOKE, HAJIFUNZI''..
MASHABIKI SIMBA WALIA UWANJANI, WAMKATAA KOCHA MATOLA - ''HATUMTAKI, AONDOKE, HAJIFUNZI''..

MASHABIKI SIMBA WALIA UWANJANI, WAMKATAA KOCHA MATOLA - ''HATUMTAKI, AONDOKE, HAJIFUNZI''.. DAKIKA 90 za mtanange wa kukata na shoka zimekamilika kwa Simba kushindwa kutamba mbele ya KMC katika Dimba la Mkapa, mchezo umemalizika kwa bao 2 - 2.. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline



KWA UCHUNGU AHMED ALLY ASIKITISHWA NA SARE DHIDI YA KMC/AMTAJA MATOLA/KOCHA MPYA ANAKUJA
KWA UCHUNGU AHMED ALLY ASIKITISHWA NA SARE DHIDI YA KMC/AMTAJA MATOLA/KOCHA MPYA ANAKUJA

Usisahau ku "SUBSCRIBE" Channel yetu kwa habari nyinginezo nyingi na nzuri KWA UCHUNGU AHMED ALLY ASIKITISHWA NA SARE DHIDI YA KMC/AMTAJA MATOLA/KOCHA MPYA ANAKUJA #Bonatv #Exclusive



KOCHA MATOLA/SHOMARI KAPOMBE WAANIKA MBINU ZA KUICHARAZA KAGERA SUGAR/"NI MECHI NGUMU/TUTAPAMBANA"
KOCHA MATOLA/SHOMARI KAPOMBE WAANIKA MBINU ZA KUICHARAZA KAGERA SUGAR/"NI MECHI NGUMU/TUTAPAMBANA"

Leo tarehe 19,Agosti makocha na manahodha wa timu ya Simba Sc na Kagera Sugar wamekutana na waandishi wa habari za ...



Simba yatoa tamko zito kuhusu kuachana na Kocha Suleiman Matola sababu zawekwa hadharani
Simba yatoa tamko zito kuhusu kuachana na Kocha Suleiman Matola sababu zawekwa hadharani

Simba yatoa tamko zito kuhusu kuachana na Kocha Suleiman Matola sababu zawekwa hadharani #simba #simbaleo #yanga #yangaleo #tetesizausajilileo #simbaleo #yangaleo #mchezajimpya #yanga #simbasc #yangasc #tetesizausajilileo #usajilileo #usajilisimbaleo #usajiliyangaleo #yanga #simba #mechiyasimbalive #mechiyayangalive #ccmkirumba #mwanza #yangaleo #geitagoldleo #yangavsgeitagold #ligikuunbc #sportsarena #wasafitv #msimamowaligikuunbc #gsm #caf #cafconfiderationcup #usajilisimbasc #usajiliyangasc #usajili #dirishakubwalausajili #azamtv #millardayo #globaltv #mbiusautitv #wasafitv #sportsarena #fifa #cas #modewji #hajimanara #yusuphmanji #usajli #kikosichasimbaleo #simbaleo #ligikuutanzania #simba #usajiliyangasc #yanga #ligikuu #tanzania #simba #yangaleo #usajilisimbaleo #ligikuu #chama #caf #tff #SIMBASC #YANGASC #SIMBA #LIGIKUUTANZANIA #ligiyamabingwaafrica #Africa #tanzania




« Previous Next »


Popular Tags

#Best Goals  #Mesut Ozil  #Neymar  #Shaquille O'Neal  #Russell Westbrook  #Counter Attack Goals Football  #Shaquille O'Neal  #Boston Celtics  #Anthony Davis  #Best Goals  

Popular Users

#CP3  #selenagomez  #CNN  #THNRyanKennedy  #katyperry  #BMcCarthy32  #twitter  #Cristiano  #hunterpence  #SimplyAJ10  #blakegriffin23  #richarddeitsch  #UKCoachCalipari  #JLo  #RyanBabel