MAGORI ASEMA SIMBA ITAISHTAKI FIFA COASTAL UNION KUHUSU MCHEZAJI LAWI
MAGORI ASEMA SIMBA ITAISHTAKI FIFA COASTAL UNION KUHUSU MCHEZAJI LAWI

Mjumbe wa Bodi ya Timu ya Simba SC kwa upande wa Mwekezaji Mohammed Dewji Mo, Crescentius Magori, amepangua hoja dhaifu za uongozi wa timu ya Coastal Union unaodai kuwa mchezaji Lameck Lawi aliyetambulishwa Simba jana bado ni mchezaji wao, na kusema wataishtaki Coastal Union FC na hiyo klabu nyingine ya nje inayomhitaji Lawi. Akihojiwa na E FM.

MAMBO MATANO (5) USIYOYAFAHAMU KUHUSIANA NA KELVIN KAPUMBU/KIUNGO MPYA WA MNYAMA SIMBA
MAMBO MATANO (5) USIYOYAFAHAMU KUHUSIANA NA KELVIN KAPUMBU/KIUNGO MPYA WA MNYAMA SIMBA

Simba pro tunafahamu kua Crecentius Magori yupo nchini Zambia kwaajili ya kumalizana na Joshua Mutale na Kelvin Kapumbu kwaajili ya kuboresha timu kuelekea msimu wa 2024/25 Kwa kulitambua hilo Leo tutakua tukiangazia zaidi mambo usiyoyafahamu kuhusiana na Kelvin Kapumbu, Mambo ambayo yatakupa picha ni mchezaji wa Aina gani na atakuja kuisaidia vipi Simba SC? KAMA UNAHITAJI KUUNGWA KWENYE GROUP LA SIMBA PRO TUMA UJUMBE KWA NAMBA 0626629644 TUWEZE KUKUPA UTARATIBU WA JINSI YA KUJIUNGA

🔴#LIVE UCHAMBUZI WA MAGORI YA SIMBA DHIDI YA HOROYA | SIMBA DHIDI YA HOROYA HIGHLIGHTS | CHAMA
🔴#LIVE UCHAMBUZI WA MAGORI YA SIMBA DHIDI YA HOROYA | SIMBA DHIDI YA HOROYA HIGHLIGHTS | CHAMA

LIVE UCHAMBUZI WA MAGORI YA SIMBA DHIDI YA HOROYA | SIMBA DHIDI YA HOROYA HIGHLIGHTS | CHAMA Simba ...

#MAGORI YA SIMBA DHIDI YA VIPERS | GORI LA CHAMA DHIDI YA VIPERS | SIMBA VS VIPERS HIGHLIGHTS
#MAGORI YA SIMBA DHIDI YA VIPERS | GORI LA CHAMA DHIDI YA VIPERS | SIMBA VS VIPERS HIGHLIGHTS

MAGORI YA SIMBA DHIDI YA VIPERS | GORI LA CHAMA DHIDI YA VIPERS | SIMBA VS VIPERS HIGHLIGHTS TAZAMA GORI ...

« Previous Next »

Popular Tags

#Anthony Davis  #Paul Pogba  #Goal Celebrations  #Best Football Defending Skills  #Golden State Warriors  #Gareth Bale  #Goalkeeper Saves  #Paul Pogba  #Mesut Ozil  #Best Football Defending Skills  

Popular Users

#Kaepernick7  #BMcCarthy32  #JJWatt  #twitter  #MikePereira  #Cristiano  #BellaTwins  #AdamSchefter  #YouTube  #fauxpelini  #LilTunechi  #BarackObama  #MieshaTate  #ladygaga  #ArianaGrande